VYANZO MBADALA SIYO UFUMBUZI, BALI KILA MTANZANIA MWENYE SHUGHULI YA KIUCHUMI ALIPE KODI YA MAPATO KILA MWEZI
Wigo mdogo wa eneo la kukusanya kodi mtihani mkubwa kwa TRA na pia mzigo mkubwa kwa walipa kodi wachache kutwishwa jukumu la kulipia kodi Tanzania
Habari ya ziada:
13 January 2023
UMOJA WA ULAYA UMESHAURI WAWEKEZAJI NA SEKTA BINAFSI KUWA NA USHIRIKIANO WA WAZI NA TRA
Source : MLIMANI TV UDSM

Balozi Manfredo Fanti amezungumza hayo akijibu maswali ya waandishi wa habari baada ya mkutano mfupi na wahariri pamoja na wadau wa habari nchini.Source : MLIMANI TV UDSM