Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
inamaana wewe hujaona mkuu?
sijaona. Nioneshe
inamaana wewe hujaona mkuu?
uliokutana nao wamebezibakiza wanasemaje..............samahani lakini
Ukivaa nanihii unaonekanaje
Naonekana kinaniliu zaidi ..... :becky: :becky:
Watu wanapofanya tendo la ndoa, vinena ndo huwa vinasuguana sana. Sasa zile nywele zipo hapo ili kupunguza friction. We jaribu fikiri sehemu zingune ziliko, ishu ni hiyo hiyo tu ya kupunguza friction. Sasa unapozitoa zote, maana yake ni kuwa friction inakuwa kubwa na wakati mwingine wengine huchubuka vinenani. Mnaweza mkawa mnatumia kondomu vizuri, lakini kinena kikakusababishia maambukizi INA THE NAME OF USAFI...
Mamushka nimekumisi siku hizi upo busy..na mshua wangu nae sijui unamlowekea nguo kila siku..?!
cc Mwita Maranya
We mtoto umenichekesha sana bila kutegemea! Hivi watu bado wanawalowekea wenzao nguo? Ha ha ha haaaaaa!
Mbona tunaoga kila siku pengine mara mbili, hao chawa watapatikana vipi?
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
Afu we mtoto... Zion Daughter unamtafuta ugomvi dady???
Sasa unazuga nini ma swiri wife mwaJ, halafu bahati mbaya sikuwa na akiba pembeni!!!hahaha we mkare kwa kuloweka
aminia mama languuuu!Tatizo lako Mwita Maranya - baba ZD unapenda kumwaga kuku wengi kwenye mtama...! Halafu baba ZD unajua nini? Nilikuficha weeeeeee kuwa nina kabinti kangu kanaitwa snowhite. Inabidi wewe na mwanetu Zion Daughter mumtambue kuanzia leo. Sitaki kesi wala nini!
bhaeleze!nianze kabisa kumuamkia baba mwitamaranya au nisubir umlowekee nguo kkama Paw alivyotendwa leo?Tatizo lako Mwita Maranya - baba ZD unapenda kumwaga kuku wengi kwenye mtama...! Halafu baba ZD unajua nini? Nilikuficha weeeeeee kuwa nina kabinti kangu kanaitwa snowhite. Inabidi wewe na mwanetu Zion Daughter mumtambue kuanzia leo. Sitaki kesi wala nini!