Kunyoa sehemu za siri.

Kunyoa sehemu za siri.

Mie nilishariraksi kitaambo, so i understand you before you say anything!
So you dont need no courage with me, lol.

Iliki, abdala khamsa na kadhalika. Na nakorogea kidole, sio mwiko.
umekumbuka kuweka iliki kwenye maji? :A S-heart-2: mafunzo ya unyago yanatumika lol

mdogo wako. Kongosho ndio mama. this is my last attempt before i summon enough courage to admit i prefer joysticks to the public
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako Mwita Maranya - baba ZD unapenda kumwaga kuku wengi kwenye mtama...! Halafu baba ZD unajua nini? Nilikuficha weeeeeee kuwa nina kabinti kangu kanaitwa snowhite. Inabidi wewe na mwanetu Zion Daughter mumtambue kuanzia leo. Sitaki kesi wala nini!
Khaa!!! Yani ndo umeamua kumtenda baba yangu? Anyway kitanda hakizai haramu..Mimi nasubiri tamko la mdingi kuhusu kumpokea snowhite kweye familia ya fita ni fita lakn ajiandae kutahiriwa maana dady kwa mila ameshindikana..
cc Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
Khaa!!! Yani ndo umeamua kumtenda baba yangu? Anyway kitanda hakizai haramu..Mimi nasubiri tamko la mdingi kuhusu kumpokea snowhite kweye familia ya fita ni fita lakn ajiandae kutahiriwa maana dady kwa mila ameshindikana..
cc Mwita Maranya

Ha ha haaaaaa haaaaaaaaa! Kweli Mwita Maranya hapa hatuna mtoto! Siri zote anatoa live bila chenga! Tukishtakiwa na kufungwa sijui watalelewa na nani!
 
Last edited by a moderator:
Duh! yani wewe kama unaziweka tangu zilipoanza kuota naona sasa hata suruali haifungi na hiyo harufu,kama zizi la Mbuzi.
usishangae wenzio wakikukimbia nisababu ya harufu,ivi unatokea wapi usojua usafi? sipata picha ya huko makwapani sijui kama kwapa linafunga sawa sawa na ulinyanyua mkono nzii wa chooni Kibaooooooooo....
 
A%20S-heart-2.gif
kunyoa ni kujali na kujali ni
A%20S-heart-2.gif
 
Halafu baba ZD unajua nini? Nilikuficha weeeeeee kuwa nina kabinti kangu kanaitwa snowhite. Inabidi wewe na mwanetu Zion Daughter mumtambue kuanzia leo. Sitaki kesi wala nini!

Ati nini??? kwamba una mtoto? Anaitwa snowhite tena mkubwa anayeweza kuwa mke wa mtu!!!
Asalamaleku walahi, mama watoto mwaJ nitahitaji maelezo ya kutosha ili nikuelewe, vinginevyo naendelea kumtambua mwanetu mmoja tu mpendwa Zion Daughter.

Au nimkubali haraka haraka ili nimtafutie mchumba fasta anipe ng'ombe???:nono::nono::nono:
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unataka wasinyoe wafuge?
Utapata tabu kutafuta naniliu
 
Ha ha haaaaaa haaaaaaaaa! Kweli Mwita Maranya hapa hatuna mtoto! Siri zote anatoa live bila chenga! Tukishtakiwa na kufungwa sijui watalelewa na nani!

Hiyo ni kuonyesha tu jinsi ulivyomchanganya mwanangu ZD kwakuwa hakuwahi kutarajia kuwa atakuwa na dada. Lakini mwanangu ana adabu sana na hilo ndilo linalonifanya nizidi kumpenda.

Tukishtakiwa hatokwenda kututolea ushahidi mahakamani kwahiyo kesi itakufa natural death.
 
Khaa!!! Yani ndo umeamua kumtenda baba yangu? Anyway kitanda hakizai haramu..Mimi nasubiri tamko la mdingi kuhusu kumpokea snowhite kweye familia ya fita ni fita lakn ajiandae kutahiriwa maana dady kwa mila ameshindikana..
cc Mwita Maranya

Wala usipate shida mwanangu mpendwa Zion Daughter. Mama yako mwaJ nitajua jinsi ya kumalizana nae. Pamoja na hii surprise ya kuletewa/kutambulishwa dada yako snowhite bado kuwa na imani kwamba bado wewe una nafasi yako ya kipekee, ngoja kwanza nipate maelezo kutoka kwa mama watoto then tajua nini cha kufanya.
 
Last edited by a moderator:
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​

agreed

inahitaji hapo size ya milimita moja kuipa hesima yake
 
makubwa jf kunavituko mbona kama mwili uliumbwa safi/hauna uchafu mbona unaonga unapiga mswaki? jaribu kushughulisha akili yako usiwe kama ndugulile aka madiwa wakigamboni
 
Back
Top Bottom