BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Wanaopenda wanadai kama zinapunguzwa kila mara na kuachwa za wastani na soap soap kwa sana basi wanazifurahia sana. Binadamu wanatofautiana wengine husema "that is a grown p.....y/p....s!! I like it that way" na wengine wanadai ni uchafu tu.
Mie nilinyoa, nilipitisha siku mbili bila kupata shughuli!, kisa mama analalamika atachezea nini, hiyo ibaki maamuzi ya wapenzi kuamua kuacha au kuondoa. Wengine wanapenda na wengine hawapendi!