Kunyoa sehemu za siri.

Kunyoa sehemu za siri.

Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​

Hatuna Mungu ---- aliyetuamuru tusinyoe sehemu za siri.Huyo ni wako na si wa wote.
 
Unaweza kututhibitishia tafadhali! (red bolded).
ahahahahaaa Jacobus hujatulia kabisaa.Hilo swali lina mahusiano kiasi na mada yako.Yani ni sawa na kunyoa..Nasikitika ni ngumu sana kudhibitisha...Tukiwa barabarani ni ngumu kujua mtu kanyoa ama laah unless muwe na ukaribu wa kipekee..........
 
Last edited by a moderator:
afuge kama hizi Picture.jpg
 
Check hiyo link mwenyewe ushuhudie mambo...https://www.jamiiforums.com/habari-...a-wingi-shughuli-inaendelea-kama-kawaida.html lakn siku hizi amebadilika amekuwa mwanaharakati wa kupinga hiyo makitu ..Thanks to mom mwaJ na antie Kongosho walifanya kazi ya ziada kumuelimisha..Mie nipo swafi kabisa sikupitia kale kamila potofu.
mi ndo mana namfagilia mom!
we unafkir yule mdingi bila kuwa na mke kama mwaJ na antie Kongosho (ila ngoja kwanza huyu ni shangazi kabisa kabisa!)manake dah sasa kama baba ni Mwita Maranya na antie ndo huyo si balaa!
 
Last edited by a moderator:
Hhahahhaa nimeipenda sana hii thread japo nimechelewa kuchangia...Na za nyuma kwa mantiki hii UNAFUGA!!!!!! khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......:frusty:
 
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?

Hapa shuzi limepata mjambaji..watu wamemiminika na comments balaa.
JF never boring!
 
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​

Ni kweli kila kitu na makusudio yake, nadhavi nywele hizo ziliwekwa ili kuongeza mapenzi na uaminifu kwa wapendanao, hebu fikiria mtu anatulia tuliii then unaanza kumnyoa! Nadhani inaongeza hamu,mapenzi na uaminifu kwa wapendanao! au wasemaje?
 
Hahahaaaaa Zion Daughter,sitaki mkopo bana,juzi nilikua na baba mkwe Mwita Maranya maeneo ya Tabata kisiwani wakati nacheki nyumba ya Mtambuzi,nikamwelewsha kwamba nimerudi kutoka shinyanga na ng'ombe 17 wanakuja next wiki,akasema tutaongea,ila akasema nimwambie Mwa J kuwa nitatoa ng'ombe 2 halafu hao wengine nimpe offline....hapo ndipo napata utata....Nashindwa nifanyeje wakati miye nimeshakudondokea.Ngoja niende kwa aunt yako Kongosho nione atanishauri vipi....niko njia panda sweetheart...:yo:

Khaaaaaaaa! Ng'ombe 17 nyumbani waletwe 2?!!!! Hapo hapo hao wawili tuambiwe ni wa ukoo mzima! Haki ya nani patachimbika!
 
Ni kweli kila kitu na makusudio yake, nadhavi nywele hizo ziliwekwa ili kuongeza mapenzi na uaminifu kwa wapendanao, hebu fikiria mtu anatulia tuliii then unaanza kumnyoa! Nadhani inaongeza hamu,mapenzi na uaminifu kwa wapendanao! au wasemaje?
Hah! (bolded) mie sijapata kumnyoa hata mmoja wala sijaombwa/ambiwa kufanya hivo ati, huwa nakuta tayari jangwa limetengenezwa.
 
nyuzi nyingine zimekaa kiudhalilishaji zaid kwa wanawake kama hii. hata hivyo nashangaa mpaka sasa bado mnaendelea kumjibu.
 
Hhahahhaa nimeipenda sana hii thread japo nimechelewa kuchangia...Na za nyuma kwa mantiki hii UNAFUGA!!!!!! khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......:frusty:
Imeandikwa wapi kunyoa?
 
Shikamuuu, naomba maji ya kunywa!
nyuzi nyingine zimekaa kiudhalilishaji zaid kwa wanawake kama hii. hata hivyo nashangaa mpaka sasa bado mnaendelea kumjibu.
Punguza jazba mama, tunauhuru wa kuelimishana humu.
 
ahahahahaaa Jacobus hujatulia kabisaa.Hilo swali lina mahusiano kiasi na mada yako.Yani ni sawa na kunyoa..Nasikitika ni ngumu sana kudhibitisha...Tukiwa barabarani ni ngumu kujua mtu kanyoa ama laah unless muwe na ukaribu wa kipekee..........
Naogopa, nimeambiwa wewe ni mchumba tayari ila pete siioni.
 
Back
Top Bottom