Kunyoa sehemu za siri.

Kunyoa sehemu za siri.

:washing:SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA:ballchain: - Mamndenyi

Ila hakika huyu amepotea!!!

Last edited by a moderator:
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
Watu wanapofanya tendo la ndoa, vinena ndo huwa vinasuguana sana. Sasa zile nywele zipo hapo ili kupunguza friction. We jaribu fikiri sehemu zingune ziliko, ishu ni hiyo hiyo tu ya kupunguza friction. Sasa unapozitoa zote, maana yake ni kuwa friction inakuwa kubwa na wakati mwingine wengine huchubuka vinenani. Mnaweza mkawa mnatumia kondomu vizuri, lakini kinena kikakusababishia maambukizi INA THE NAME OF USAFI...
 
Choice?
hair2.jpg

justin-bieber-bald_300x400.jpg
 
Watu wanapofanya tendo la ndoa, vinena ndo huwa vinasuguana sana. Sasa zile nywele zipo hapo ili kupunguza friction. We jaribu fikiri sehemu zingune ziliko, ishu ni hiyo hiyo tu ya kupunguza friction. Sasa unapozitoa zote, maana yake ni kuwa friction inakuwa kubwa na wakati mwingine wengine huchubuka vinenani. Mnaweza mkawa mnatumia kondomu vizuri, lakini kinena kikakusababishia maambukizi INA THE NAME OF USAFI...
Haijambo na nashukuru ndugu kwa elimu yako kwani wengine matusi yapo usoni tu basi.
 
Alaaaaaah kumbe wenye vinyweleo ni wadada tuuu!!!!!!mi nilikuwa nafikiri na akina kaka pia!!!!!!!!!!au wakaka huwa mnazibakiza?haya kama ndio hivyo basi na nyie wakaka mtupe majibu kwa nini huwa mnazibakiza.
uliokutana nao wamebezibakiza wanasemaje..............samahani lakini
 
kabisa chaguo ni lake. Wala asipate taabu, ila akumbuke pia wakati anaenda kufanya na mpenziwake aandae na toothpicks kabisa kwa ajili ya kutolea mananilii yatakayobaki kwenye meno ya mpenzi wake baada ya kumnyonya naniii.
Nimemaliza.
wewe umepinda
 
Paw yuko home leo, nimemlowekea nguo. Naenda home sasa hivi, ole wake. Atajuuta kuzaliwa rijali.
umekumbuka kuweka iliki kwenye maji? :A S-heart-2: mafunzo ya unyago yanatumika lol

Kumbe na wewe geologist. Hongera (hivi tulikubaliana wewe ni mdogo wangu ama mwanangu?)
mdogo wako. Kongosho ndio mama. this is my last attempt before i summon enough courage to admit i prefer joysticks to the public
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom