Mimi nimefungua Saloon ya kungoa Ikulu lakini ni Wanawake tu ndo wanaruhusiwa Karibu sana
Weka picha na sosi ili tujue cha kuchangia.Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
Aaah! Mamndenyi afadhali umerudi kutoka Nigeria! Vipi TB Joshua hajambo? Nakuona hapo umependeeeeeza!
Mamushka nimekumisi siku hizi upo busy..na mshua wangu nae sijui unamlowekea nguo kila siku..?!
cc Mwita Maranya
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
We mtoto umenichekesha sana bila kutegemea! Hivi watu bado wanawalowekea wenzao nguo? Ha ha ha haaaaaa!
siwezi kwenda chumvini wakati pembeni kuna msitu wa mwabepande
Paw yuko home leo, nimemlowekea nguo. Naenda home sasa hivi, ole wake. Atajuuta kuzaliwa rijali.