Sivutiwi na wanaonyoa kipara sehemu za Siri

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,495
99,293
Wakuu,
Inaudhi Sana Unaenda kukutana na mtu kanyoa kipara plain mpaka unashindwa kutofautisha ngozi ya KAWAIDA na ngozi ya sehem za Siri.

Mwingine kila zikiota kidogo tu,
Anazinyoa kipara haswa mpaka ile sehemu ya siri imeota ule weusi flan wa sugu ya wembe. Ukiitizama haraka haraka ile sehemu, Unaweza kuhisi mtu Ni mchafu au ana ukurutu.

Wengine unakuta kanyoa kipara mpaka vimeota vipele vidg vidg vingi Kama chunusi. Wengine tukiona hata kipele hata kimoja sehemu ya Siri tunaogopa sana.

Pia kuna ambao vile vipele huwa vinawawasha kabisa, yaani unashangaa mwenzako kila Mara mkono uko Chini, ukimuuliza shida Nini, anakwambia "nmetoka kunyoa sio MDA". Kwa haraka haraka unajua kabisa,huu muwasho Katoka kunyoa kipara plain.

Aisee Raha ya sehem ya Siri inayovutia, ukute ina zile nywele flan kiasi za brashi na zimesimama uku zinachoma choma Kama vile mbuga ya iliyoungua na moto
d4b7b1dce8f73977.gif
 
Back
Top Bottom