Kunyoa sehemu za siri.

Kunyoa sehemu za siri.

We kama kwako ni sawa.........baki na zako.......

Hahahha! Pureta bwana. Mbona wa Asia walio wengi huziachia tuu! Kwasababu huyaweka maungo katika hali isiyo kuwa na usugu wala.... But usafi kwanza.
 
Hizo nywele ingawa ni mwanaume zikiota kidogo tu zinaniwasha kweli nikapata ushauri kwa ex wangu niwe natumia the feet sasa mwaka wa nne kitu hakuna nywele sehemu zote natembea kwa amani. Ukiwa nayo muda mrefu ni hasara na uchafu ukienda chooni unatakiwa utumie maji mengi kujiosha na kama unatumia toileth paper lazima uache kinyesi kwenye boxer au bikini yako sasa pima faida ya kuyanyoa ni ipi, vitu vingine havistahili kuulizwa ulizwa humu ndani duh
 
du msinikumbushe juzi nilikuwa na katoto kamoja kameyasuka kabisa kwa kwenda juu du kwa kweli kalikuwa kamependeza eneo hili kweli kugonga kwingi ni kuona mengi.
 
Yeye anayeonda sifa kukaa nayo mwache akae nayo ila siku moja hasije kutuambia kuwa ana wadudu wanamtembea kwenye msitu wake huo.
 
Faida yake mojawapo ni kukolezea sabuni wakati wa kuoga, ukisugua sabuni pale unazalisha povu jingi sana linatumika mwili mzima
 
nadhani ni chaguo la mtu na si vinginevyo. kuna wengine wanazifurahia hizo nywele na wengine hawazpendi hasahasa ule wakati wa kula "sukari guru" . wengine wanasema kama k**a haina afro basi inakuwa easily accessible na raha zipo nje nje
 
nadhani ni chaguo la mtu na si vinginevyo. kuna wengine wanazifurahia hizo nywele na wengine hawazpendi hasahasa ule wakati wa kula "sukari guru" . wengine wanasema kama k**a haina afro basi inakuwa easily accessible na raha zipo nje nje
Ila kiafya na haya majoto na maji chumvi fully mba.
 
Tamatheo namshukuru sana mshauri wangu aliyefanya nikabadili avatar
- kama vipi asinyoe kila mahali kabisa ili tuone matokeo.

Umebadilisha avatar yako nikakusahau kabisa looooooooooooh!!!! Ushauri mzuri kwa mtoa uzi ila mwisho atakuwa nyani
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimefungua Saloon ya kungoa Ikulu lakini ni Wanawake tu ndo wanaruhusiwa Karibu sana
 
Uwiiii yan jf na idumu milele...
Kweli hii ni stress free zone!! Lol
mada za humu na michango yake ni raha tupu.
Miss u Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom