Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,998
- 103,385
Hizo attachment kwangu huwa hazifunguki nitumie mbinu gani kufungua???
Update simu yako, ikigoma reset ndio kitaeleweka
Hizo attachment kwangu huwa hazifunguki nitumie mbinu gani kufungua???
Maslahi gani US anapata kwa Tanzania? Hata hivyo ni juu ya hao cdm kutumia njia zote kuhakikisha hawaendelei kuonewa na chama kinachotegemea vyombo vya dola kufanya siasa.Uzuri wa USA yuko kimaslahi, nyie mnaenda kupeleka umbea wenzenu wananunua chanjo, Symbioni inarudi kazini...hizo kelele zenu hawawezi kuzisikia..... hamuon Rwanda, Uganda na pale Saudia kwa MBS..
Steve Biko,Nelson Mandela Walter Sisulu na wenzao wote waliitwa Wahuni Magaidi Vibaka na Majina yote ya kudhalilisha Mwanadamu
Lakini leo hii wote wameingia kwenye historia kuwa walikuwa Mashujaa wa Afrika na sio hawa Machizi wa leo waliolazwa huko Chato.
KWA HIYO UNAONA UNAFUU WA MATOKEA UPO HAPO KWENYE KUCHUKUA MIAKA?Ubalozi unahesabiwa ni nchi ndiyo maana Lisu alivyoingia tu mule kumtoa ikawa haiwezekani ila ili ugewe hizo privileges na wewe una sharti la kutoingilia mambo ya nchi husika.
So ubalozi wa Marekani wanachoweza fanya ni kuyapokea hayo malalamiko na kuyatuma kwa idara inayodeal na Afrika.
Hii yaweza chukua miaka.
Kwa maneno yako hakuna nchi ya kiafrika iliyo huru....Huwezi kuwa huru kwa kila kitu Kama bado unaishi kwa wazazi. Ukiweza kujitegemea kwa kila kitu hapo Ni kweli upo huru. Sijui Kama umenielewa kweli
Afadhali wao wanawafanya kitu kuliko wengi wetu tumekaa tu kusubiri mabadiliko walete wengine halafu sisi twende kufaidika.
Natambua hilo...
Ni kweli....
Marafiki zetu hao....wadau wetu wa maendeleo hao....
Na kesho panapo uzima ninalipeleka BEGA LANGU kuchomwa msaada wao wa J&J......
TANZANIA IS A SOVEREIGN NATION
#KaziIendelee
#JMTMilele
#SerikaliMbiliMilele
Sisi wengine ni miongoni mwa wawezeshaji
Sio msimamo wetu Chadema kuporomosha matusi, ila tutofautishe matusi na "freedom of speach" mimi binafsi ni muumini wa kukosoana kwa kwa staha kama Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan alivyotushauri.Vipi mtaendelea kumporomoshea matusi ya nguoni kama kawaida yenu au mmeshajifunza adabu???
Afadhali wao wanawafanya kitu kuliko wengi wetu tumekaa tu kusubiri mabadiliko walete wengine halafu sisi twende kufaidika.
wataal wa kutumia platform za ndani na za nje👍👍Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .
Video.
View attachment 1871504
View attachment 1871842
swadaktaSio msimamo wetu Chadema kuporomosha matusi, ila tutofautishe matusi na "freedom of speach" mimi binafsi ni muumini wa kukosoana kwa kwa staha kama Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan alivyotushauri.
Kitendo cha Speech ya Mdude Nyagali kuhusu 'Wembe uleule' ukikiangalia hakikuwa na maana yeyote ile zaidi ya kuonyesha ghadhabu zake dhidi ya Utawala uliopita.
Ningependa Viongozi wetu wa Chadema wawe wana angalia nani wa kumpa Mic ili tusije tukawapa sababu viherehere wa CCM na kutuchonganisha na Watanzania kusema kuwa Cdm kumejaa wahuni.
mtakubali tuNatambua hilo...
Ni kweli....
Marafiki zetu hao....wadau wetu wa maendeleo hao....
Na kesho panapo uzima ninalipeleka BEGA LANGU kuchomwa msaada wao wa J&J......
TANZANIA IS A SOVEREIGN NATION
#KaziIendelee
#JMTMilele
#SerikaliMbiliMilele
EeeenHeee,Museven hapo Uganda wapinzani wake wamelia hadi ikulu ya Marekani sembuse hapo ubalozini?
Usichokijua ni kwanba hii ni nchi siyo kikundi cha vicoba!
Kenyatta wa bunju,Nimepokea kwa Mshtuko mkubwa taarifa za Mh. Freeman Mbowe kua Gaidi, nimemfahamu Freeman miaka mingi tangu enzi za Baba yake Aikael Mbowe akiwa rafiki wa Baba yangu.
Sisi wakenya tulipata shida baada ya Alshabab kuvuruga nchi yetu, Nashangaa Leo watanzania wanaharibu Amani Yao kwa kumwita Mh. Freeman Mbowe ni Gaidi, baada tu ya kudai Katiba Mpya. tegemeeni kupoteza wawekezaji wengi kuanzia sasa.
Uhuru Kenyatta
Yaani samia ni hamnazo kabisa magufuli alikuwa anatambia kabila lake lakini hakufua dafu akakonda akawa kama kijiti huyu pamoja na kuiba kura serikali za mitaa na uchaguzi mkuu akakosa amani ya roho huyu kigagula na zanzibar yake na huyo mkwewe watalia sana maana resistance ataipata zaidi ya magufuli a wicked step mother a satan in makingKutinga ndio kufanyaje!! Machadema bana, akili zenu sawa na za ng'ombe tu, yaani kakikundi ka wahuni na makaratasi yao wamejisteji mbele ya camera wanaigiza kulia ndio kutinga!! Usikute waume zao wakiwatuma wabishiiii!! lakini kwa ujinga wanapiga show ya kipuuzi namna hiyo!! Unadhani wazungu wajinga?
Mkuu uma roho ngumu if this coming deep from ur heart.Magaidi yana umoja sana
Kama yalivyo majambazi. Ugaidi una visababishi vingi, mathalani uongozi mbaya wa nchi usiozingatia haki na usawa, huu hupelekea ugaidi. Tukija kwa majambazi hakuna sababu yoyote inayoweza kujustify ujambazi! Marehemu pombe alikuwa jambazi mbaya sana kuwahi kutokea, alikuwa na vijambazi vidogo vidogo alivyokuwa anavituma kukwapua kwa businessmen. Mungu kamtandika bakora jambazi pombe, vimebaki vijambazi vyake vidogo vidogo vinanyea debe kisongoMagaidi yana umoja sana