Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,120
2,000
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video. 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
13,338
2,000
Baraza la Wanawake la Chadema ( BAWACHA ) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani africa kwa sasa limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Africa , Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video .

View attachment 1871504

Ni mwendo wa marekani tuu leo🤣🤣🤣🤣

Screenshot_20210728-135159.jpg
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,120
2,000
Wamekwenda kutusemea kwa marafiki zetu....

Kila Mtu ana Uhuru wa kutoa mawazo yake na kusikilizwa(ikiwemo malalamiko)....

BAWACHA nao wana haki hiyo.....

Ila kubwa tu TANZANIA IS A SOVEREIGN COUNTRY....na isiyoishi katika kisiwa cha dunia yake.....

#NchiKwanza
#JMTMilele
#SiempreTanzania
Tambua kwamba Chanjo mil 1 za corona zimetokana na msaada wa Marekani
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,588
2,000
Baraza la Wanawake la Chadema ( BAWACHA ) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani africa kwa sasa , limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Africa , Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video .

View attachment 1871504
Safi sana hivi wale Covid 19 wa mjengoni si Bado "ni Chadema"mbona wao hawamzungumzii Mwenyekiti wao!!au ni chadema kwa ajiri ya kupiga mpunga wa bungeni tu?!!
 
MANYORI Jr

JF-Expert Member
Mar 25, 2012
454
500
Baraza la Wanawake la Chadema ( BAWACHA ) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani africa kwa sasa , limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Africa , Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video .

View attachment 1871504
Ninawiwa kusaidia.Ninafanya jambo ,Mola anipe kibali nifanye ninachokusudia kwa faida ya kizazi cha sasa na baadaye.Allah unijaaliye.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,315
2,000
Ubalozi unahesabiwa ni nchi ndiyo maana Lisu alivyoingia tu mule kumtoa ikawa haiwezekani ila ili ugewe hizo privileges na wewe una sharti la kutoingilia mambo ya nchi husika.

So ubalozi wa Marekani wanachoweza fanya ni kuyapokea hayo malalamiko na kuyatuma kwa idara inayodeal na Afrika.

Hii yaweza chukua miaka.
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
7,596
2,000
Tambua kwamba Chanjo mil 1 za corona zimetokana na msaada wa Marekani
Natambua hilo...

Ni kweli....

Marafiki zetu hao....wadau wetu wa maendeleo hao....

Na kesho panapo uzima ninalipeleka BEGA LANGU kuchomwa msaada wao wa J&J......

TANZANIA IS A SOVEREIGN NATION

#KaziIendelee
#JMTMilele
#SerikaliMbiliMilele
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
7,596
2,000
Ubalozi unahesabiwa ni nchi ndiyo maana Lisu alivyoingia tu mule kumtoa ikawa haiwezekani ila ili ugewe hizo privileges na wewe una sharti la kutoingilia mambo ya nchi husika.

So ubalozi wa Marekani wanachowaza fanya ni kuyapokea hayo malalamiko na kuyatuma kwa idara inayodeal na Afrika.

Hii yaweza chukua miaka.
Hakika 🤣
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom