Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Sikuwahi kujua kama hata hayo ya kukisamimia wenyewe mnaenda kuombwa msemewe ,alafu ikitokea bahati mbaya mkashika Dola muweze kujitegemea?
 
tuliorganise kwa kuwazidi akili , si unajua polisi wengi wao ni Darasa la saba , mbinu za maana kidogo tu wanaambulia patupu
Ushauri.
Mtindo wa aina hiyo ndio uwe mwendelezo wa mapapmbano.

CCM na hao polisi wao wanawahimiza sana muingie barabarani, kwa sababu huko ndiko wanakojuwa watawadhibiti kwa kuwapiga mabomu na hata kuua kadhaa ili kuendeleza vitisho kwa jamii nzima iendelee kuwa na uoga juu yao.

Msiwape tena fursa ya aina hiyo. Haya mapambano yawe ni ya kutumia akili zaidi kuliko maguvu ya kukabili masilaha yao ya kuwatoa uhai.

Kuwekwa mahabusu na kufunguliwa makesi mbalimbali hiyo iwe ni sehemu ya mapambano, ni lazima hivyo mvikubali kama malipo ya ukombozi wa taifa letu.

Raia watakapoona moyo huo wa kujitoa mhanga, na wao wataanza kuwa na ujasiri wa kudai haki zao bila ya uoga, hata huo wa mabomu na mabunduki.
 
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

View attachment 1871504

View attachment 1871842
Wanawake Tanzania wataleta ukombozi kqa mara ya pili Tanzania
 
Museven hapo Uganda wapinzani wake wamelia hadi ikulu ya Marekani sembuse hapo ubalozini?

Usichokijua ni kwanba hii ni nchi siyo kikundi cha vicoba!
 
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

View attachment 1871504

View attachment 1871842
Unyonge wa Mwafrika
 
Kutinga ndio kufanyaje!! Machadema bana, akili zenu sawa na za ng'ombe tu, yaani kakikundi ka wahuni na makaratasi yao wamejisteji mbele ya camera wanaigiza kulia ndio kutinga!! Usikute waume zao wakiwatuma wabishiiii!! lakini kwa ujinga wanapiga show ya kipuuzi namna hiyo!! Unadhani wazungu wajinga?
 
Kuteguka mguu imekuwa issue mbona husemi aliyekufa kwa kudharau korona.
Ulijuaje? Au ulihusika katika kifo chake? Jitokeze hadharani utangaze hivyo...Kama upo Dar nenda pale Kariakoo karopoke hivyo...
 
Wamekwenda kutusemea kwa marafiki zetu....

Kila Mtu ana Uhuru wa kutoa mawazo yake na kusikilizwa(ikiwemo malalamiko)....

BAWACHA nao wana haki hiyo.....

Ila kubwa tu TANZANIA IS A SOVEREIGN COUNTRY....na isiyoishi katika kisiwa cha dunia yake.....

#NchiKwanza
#JMTMilele
#SiempreTanzania
Huwezi kuwa huru kwa kila kitu Kama bado unaishi kwa wazazi. Ukiweza kujitegemea kwa kila kitu hapo Ni kweli upo huru. Sijui Kama umenielewa kweli
 
Back
Top Bottom