Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,788
218,415
Mwamba wa siasa za Tanzania, Freeman Mbowe, ambaye pia anatajwa kama Mwanasiasa anayeongoza kwa Umaarufu Barani Afrika kwa sasa, amekutana na Balozi wa Marekani

Wawili hao wamefanya mazungumzo ya siri yaliyoitwa Muhimu, hasa kwa Mustakhabhali wa Nchi ya Tanzania na Raia wake

Screenshot_2023-11-03-17-09-17-1.png
 
Umaarufu gan huyo Popoma?

Aisee yaan alipata kura 50,000 ndio useme ni mtu maarufu hata Ufipa ngoma ikwa Nutro yeye na Heche anakalishwa kwenye boksi la kura🤣
 
Anapewa maelekezo ya mipango mipya ya kuendeleza democracy feki wakishirikiana na CCM,l kwa mwaka mpya 2024 ili kuendele kuwahadaa watanzania kuwa yeye ni mpinzani mzalendo.

Hii inchi hii sijui tunatoboaje aisee.
 
Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , ambaye pia anatajwa kama Mwanasiasa anayeongoza kwa Umaarufu Barani Afrika kwa sasa , amekutana na Balozi wa Marekani

Wawili hao wamefanya mazungumzo ya siri yaliyoitwa Muhimu , hasa kwa Mustakhabhali wa Nchi ya Tanzania na Raia wake

View attachment 2802622
Taarifa nzuri, ila umeiharibu mwenyewe kwa kuongeza chumvi isiyo na maana.
 
Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , ambaye pia anatajwa kama Mwanasiasa anayeongoza kwa Umaarufu Barani Afrika kwa sasa , amekutana na Balozi wa Marekani

Wawili hao wamefanya mazungumzo ya siri yaliyoitwa Muhimu , hasa kwa Mustakhabhali wa Nchi ya Tanzania na Raia wake

Hizo picha wala hazisaidii maana wengine walifikia kulala huko ubalozini lakini uchaguzi hawakushinda!
 
Anapewa maelekezo ya mipango mipya ya kuendeleza democracy feki wakishirikiana na CCM,l kwa mwaka mpya 2024 ili kuendele kuwahadaa watanzania kuwa yeye ni mpinzani mzalendo.

Hii inchi hii sijui tunatoboaje aisee.
Uongo umerithi kwa nani ?
 
Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , ambaye pia anatajwa kama Mwanasiasa anayeongoza kwa Umaarufu Barani Afrika kwa sasa , amekutana na Balozi wa Marekani

Wawili hao wamefanya mazungumzo ya siri yaliyoitwa Muhimu , hasa kwa Mustakhabhali wa Nchi ya Tanzania na Raia wake

Kama hakuongea na balozi wa Marekani kuhusu watanzania wenzetu waliotekwa na Hamas Marekani waingilie kati mongezi yao hayana maana yoyote na Chadema hopeless kabisa

Tunataka watanzania wenzetu wawili wanaoshikiliwa na Hamas waachiwe vyama vyote vya siasa iwe CCM, Chadema nk wakikutana na viongozi wa nchi kubwa wawaombe wasaidie hilo.

Watanzania wenzetu wako hali mbaya mikononi mwa Hamas wao sio wayahudi mmoja mchaga mwingine mmasai waachie watu wetu

Mbowe kama hajaongelea hilo mjinga mkubwa mateka wa Marekani wameachiwa na Hamas angetaka Marekani iingilie kati watu wetu waachiwe na Hamas huyo mchaga na Mmasai
 
Back
Top Bottom