Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,457
2,000
Hiyo ni dhana tu kama una ushahidi uweke hapa Jukwaani tuuone na tuusome.
SIYO DHANA MBONA KASHINDWA KUWATOA? RUZUKU ANAKULA NANI? KINA HALIMA KILA MWEZI WANAPELEKA MSHIKO KWA GAIDI NYIE MNAISHIA KUPIGA MAPAMBIO JF
 
Young fadson

Senior Member
Nov 6, 2017
125
225
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

View attachment 1871504
Ukiona wife ulomuita wife material anaenda kwa mjumbe kukushitaki kisa unyumba jua huna mke apo
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,457
2,000
Kama una ushahidi tuwekee hapa hatafu tufananishe na 'Upigaji' unaofanywa na Makada wa Chama cha Mapinduzi
MAKADA WAMEWAJENGEA NCHI HII HII MNAYOIFUARHIA NA KUTUMIA MITANDAO KUICHAFUA MNGEKUWA NYIE SASAHIVI MNGEKUWA NAGOMANIA VYEO TU KILA MTU ANATAKA KUWA WAZIRI
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
30,420
2,000
SIYO DHANA MBONA KASHINDWA KUWATOA? RUZUKU ANAKULA NANI? KINA HALIMA KILA MWEZI WANAPELEKA MSHIKO KWA GAIDI NYIE MNAISHIA KUPIGA MAPAMBIO JF
Ndio maana nimekwambia hiyo ni Dhana tu kama Ushahidi upo tuwekee hapa Jukwaa la Siasa tuusome au hujui kusoma ndugu.
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,457
2,000
Unajidhalilisha kwa faida ya nani ?
asilimia 90 ya watanzania wanaielewa serikali iliyoko madarakani ndiyo maana lile shoga lenu la ubergiji lilipokuwa linaenda kwa bwana wake liliwaambia mufanye maandamano hakuna aliyeingia barabarani
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
88,442
2,000
asilimia 90 ya watanzania wanaielewa serikali iliyoko madarakani ndiyo maana lile shoga lenu la ubergiji lilipokuwa linaenda kwa bwana wake liliwaambia mufanye maandamano hakuna aliyeingia barabarani
Matusi na uchawi ndio tegemeo kubwa la masikini
 
BILLY ISISWE

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
2,608
2,000
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

View attachment 1871504
USA wanawaogopa Magaidi. Msifikiri watawasikia Kapla ya wao kuchunguza. Na wao ndio Walimu wa jeshi letu la POLICE...
 
Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
817
1,000
wafanikiwe wapi wameenda kupeleka umalaya wao tu hapo hakuna hata chadema hapo
Nimefuatilia Comments zako zote kiukweli Upo tofauti na wenzako. Angalia jinsi wachangiaji wanavyokujibu utagundua KOSA unalofanya.

Tafuta namna bora ya kukosoa na jenga hoja kuwashawishi wanaosoma waamini.

Sasa wewe unashambulia na hata matusi bila kujua kuwa unafanya watu wakuchukie kwanza wewe na hata hoja zako kuonekana hazina maana. Angalia wenzako wanavyofanya.

Nafasi hii unayofanyia nahisi hutoshi
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
9,483
2,000
Mh.Regina Heiss....

Balozi huyu wa UJERUMANI nchini ameusifu uongozi wa Rais wa awamu ya 6 mh.SSH....

Ameelezea mafanikio makubwa aliyoyafanya ndani ya muda mfupi kuanzia uhuru wa habari n.k

Tundu Lissu limfikie hili.....

#YaNgosweMuachieNgoswe
#NchiKwanza
#SerikaliMbiliMilele
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom