- Thread starter
- #321
Ahsante mtani wangu kwa kunipa moyoVUMILIA TU AS LONG AS HAYAKUUI NA UNAPUMUA VYEMA
Ahsante mtani wangu kwa kunipa moyoVUMILIA TU AS LONG AS HAYAKUUI NA UNAPUMUA VYEMA
Umepita mlemle, mademu wengi wanaliwa kwa mtindo huuNahuja, Mimi nnachokiona hapa
1. Rafiki yako analia kilio cha huruma, either katika urafiki wenu alishakuhitaji kimapenzi ukamkataa nae hataki kukubaliana na hali anajaribu kutumia hii mbwinu
2. Hajawahi kukutamkia anaumia ndani kwa ndani, anaona atumie hii mbinu ya huruma ili kukupata.
3. Ana upweke
PAMOJA MTANI WANGUAhsante mtani wangu kwa kunipa moyo
Tumesusana bestI am assuming wewe ni wa KIKE.
I am also assuming kuwa yeye ni wa KIUME.
Kama ndivyo, na hamna UNDUGU wowote ni urafiki tu, tena wa kupitia JF..USIENDE KWAKE. #ushauriTU
Sio vizuri, siku ukiumwa tutashindwa kukutolea taarifa humu. Fanya unipe japo mimi tuWanakuja pm wengi ila naogopaga kuwapa mawasiliano![]()
Wacha uoga mrembo,sio wote wana madhara... Wazuri ni wengi sana humu lolKumbe Jf watu wanajuwana had I kupeana no? Mm naogopaga sana kuwasiliana na watu nisiowajua
Yangu nakupa hadharani ni hii hapa 0764 947 612😀😀😀😀Aisee, inavyoonekana ni mimi tu nimebakia bila kuwa na namba ya sumu ya Nahuja, ni Prime Minister namba yako Nahuja.
😂😂😂 Babu umenitisha ujue!Angalia usije ukawa unachat na Ziraili.
Ila hakutaka namba ya simu ametaka ya SUMUYangu nakupa hadharani ni hii hapa 0764 947 612😀😀😀😀




I see,tata Mura,huyu jamaa hafaiSasa mbona anasumbua RAIA?
Aisee, inavyoonekana ni mimi tu nimebakia bila kuwa na namba ya sumu ya Nahuja, ni Prime Minister namba yako Nahuja.
😀😀😀😀😀Ila hakutaka namba ya simu ametaka ya SUMU![]()
Namuona yumo humu (on line) kwenye huu uzi.Nahuja mgonjwa anaendeleaje
Uache ujingaWanakuja pm wengi ila naogopaga kuwapa mawasiliano![]()
Watu wana bahati,mi sijuia na mimi niumwe tuAsante kwa taarifa mkuu. Itakuwa aligonga kichwa bila shaka.
Haruhusu kutembelewa? Natamani nikamjulie hali.