Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Status
Not open for further replies.
Nimefuatilia post za wachangiaji wote nimegundua kuwa kuna watu wanafikiri staili ya maisha yao ni sawa na wengine.
1. Wapo wanaosema kuwa kama aliweza kutuma sms alishindwaje kupost mwenyewe? sio simu zote zina uwezo wa kuingia JF

2. Mara hoooo tapeli ... hapa kweli kuna mtu wa kutapeliwa kwa ujumbe ugonjwa kweli wakati hatuna hata umoja wa kusaidiana?

3. Ohhh anamtaka mtoa post! Kama anamtaka na wakakubaliana wewe inakuuma nini? Wanatumia nini cha kwako?

Jaribu kusoma kila post ya mtu ndo tutajua kuwa tofauti zetu kwenye uwezo wa kufikiri ni kubwa sana!
Mgonjwa pole - mtoa mada pole kwa maudhi ya wachangiaji .. wachangiaji pole kwa kupokea ujumbe mkaudhika.
 
Pole sana. Hakuna anayekutukana. Huyo jamaa yako ndo kakufanya uonekane msanii. Yani jana tu awe hoi afu leo paaap yuko bize hapa kubishana na wadau
Hukutaka apone eti eh! Ajali ni sekunde chache sana mkuu; na maumivu nilokuwa nayo mimi ndo najua. Nashukuru nilihudumiwa nikapata nafuu ndo maana naonekana online.
 
Hukutaka apone eti eh! Ajali ni sekunde chache sana mkuu; na maumivu nilokuwa nayo mimi ndo najua. Nashukuru nilihudumiwa nikapata nafuu ndo maana naonekana online.
Kumbe ulipata ajali mbaya? Yet ukawa unaweza kumtext Nahuja. Vipi kuhusu madaktari kukukataza kupokea simu kwa siku kadhaa lakini baadae ukapokea ya Mshana Jr ?

Umemshushia heshima NAHUJA kwa kiki ya pikipiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom