Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Status
Not open for further replies.
Mi simu yangu haina paswed mtu akiiokota akiingia JF atajua id yangu na ataona pm yangu ya kumuomba ukuwi anikopeshe elfu 30.

Worse ni kwamba hata kwa contacts nimemsave ukuwi hivyo anaweza akaamua kudeal naye huyu huyu.

Tufanye tucheki last time ya kulog in ni saa ngapi na sms zimeanza kuja saa ngapi.
 
Mi simu yangu haina paswed mtu akiiokota akiingia JF atajua id yangu na ataona pm yangu ya kumuomba ukuwi anikopeshe elfu 30.

Worse ni kwamba hata kwa contacts nimemsave ukuwi hivyo anaweza akaamua kudeal naye huyu huyu.

Tufanye tucheki last time ya kulog in ni saa ngapi na sms zimeanza kuja saa ngapi.
Kwa hiyo unaangalia kwenye ID yake? hebu angalia mkuu halafu uweke hapa sikirini shoti
 
Scenario yangu inapata nguvu

Screenshot_20181009-104345.png



Jamaa last seen ni saa 10:34 leo.

NAHUJA kama scenario yangu ni ya hovyo huyu mtu anakuwasilishia hisia fulani kazi ni kwako kung'amua.
 
Wanajf habarini za asubuhi.

Leo asubuhi nilipokea sms kutoka kwa mwanaJF mwenzetu Tutor B. katika ujumbe wake aliandika kuwa anaumwa sana.

Baada ya kusoma ujumbe huo nilimpigia akakata simu, akaandika tena sms akisema nisimpigie ila nitume sms kwa kuwa anaumwa sana kichwa na kwamba amezuiliwa kuongea na simu kwa muda wa siku 90.

Lakini sasa kitu ambacho sijamuelewa ni hizi sms zake ambazo ambazo alinitumia kwa mfululizo, Hapa nitazinukuu.

1.Wajulishe wanaJF, unisaidie kuwaaga
2.Waage kabisa, taarifa zingine mtapata kwa redio na TV
3. Waambie tuonane ulimwengu wa roho
Nikamuuliza swali, ina maana hutaingia tena JF? akanijibu:
4. Nitaingiaje wakati naenda kwa baba? Nasikitika kuondoka...
5. Najisikia kuhama ulimwenguni kuna sehemu nyingine nzuri zaidi
6. Vipi mbona unaguna? Pole kwa kunipoteza.


Na bado hadi muda huu anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF

Nimeona tu niweke huu uzi hapa maana, simuelewi huyu member kwa haya anayonitumia kwenye sms.

Mtie moyo atapona.
Pia kama mnaishi karibu unaweza kutafuta rafiki mwingine(wa kiume ikiwezekana) mkaenda kumsalimia.
 
Mkuu yani unajua hadi ananitisha. Nimemuuliza swali, kuwa anavuta bangi? akanijibu kwa kifupi kuwa hata South Africa inaruhusiwa. yaani hadi muda ninavyotaipu hii comment bado sms zinaendelea kuingia za kuwaaga wanaJF!!
Huyo mhaya kanywa rubisi imepanda kichwani, mtishie mwambie Iddi Amini anakuja ataacha masihara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom