Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Status
Not open for further replies.
Badala ya kuuliza ilikuwaje?
Ajali ilikuwa ni ya nini?
Ilitokea lini?
Nimekaa masaa mangapi pasipo uongea na simu?
Maswali ya hivyo ndo nilipaswa kuulizwa .... ambayo aloleta mrejesho ndo maswali aliniuliza wakati tunaongea na simu.
Hayo yalinipata Jumamosi jioni ... hivyo Jumamosi usiku Jumapili, Jumatatu hali yangu ilikuwa mbaya. Jumanne ndo nilikuwa na uwezo wa kutuma sms nikiwa nyumbani. Leo naona hali inaendelea vizuri alafu nakutana na post za kejeli, matusi n.k! Kumbe .... ok! wewe unayeongoza kwa matusi wakati unajiita babu nakushangaa sana!
 
Mkuu pole bhana kwa yaliokukumba.
Nafurahi kuona umepata nafuu.
Tangu Jana naomba location ya kuja kukutembelea na kukujulia hali. Kama hutojali naomba nipe location.
 
Upo wapi nikupitie? Beba bibilia zote azima na za majirani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pepo la mauti litatoka tuu

Inabidi kwanza twende mlimani (mahali pa faragha) tuombe kwanza kabla ya kwenda huko kwake...pepo lisijetuuliza sisi ni nani!??
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu NYEGE ni UGONJWA kwani? ??
watu wanasemaga ukimwi ni kama malaria lkn ukiupata ukimwi ndo utaelewa tofauti hapo. sa we ngoja genye likupande kichwani ndo utaelewa.
 
Inabidi kwanza twende mlimani (mahali pa faragha) tuombe kwanza kabla ya kwenda huko kwake...pepo lisijetuuliza sisi ni nani!??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana mapepo mengine yana kiburi sana.
Mlimani tutapanda saa 12:00 jioni halafu tutashuka saa moja asubuhi kesho na safari ya kwenda kwa mgonjwa itaanzia pale.
Pepo la mauti litajuta kukutana na sisi[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom