Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Status
Not open for further replies.
Umeleta taharuki tu bila sababu, huenda mlipanga, huenda ulipanic lakini Tutor B na wewe mlikosea kutuhabarisha, then leo mnakuja na cheap answers.
Sidhani kama naweza kupanga kitu kama kile. Ndio maana niliweka pale sms zake. Siwezi kupanga kitu kama hicho mkuu wangu.
 
Ni yeye maana nimepiga namba zake zote ujumbe wake ni huo huo kuwa nimuagie wanaJF. hajaomba hela zaidi ku insisit kuwaaga wanaJF kuwa anakufa. halafu anatuma mameseji mengine hata hayasomeki
Tunamshukuru kwa kutuaga awasalimie huko anakoenda
 
Hivi nawashangaa mnaomshambulia Tutor B.
Yeye alitoa taarifa kwa hali aliyokuwa nayo jana, wala hakuomba msaada kwa mtu yeyote. Sasa wengine wanamporomoshea maneno makali ... hamkutaka apate nafuu? Kweli binadamu hatupendani kabisa. Tutor B pole sana tunajua hajali haina kinga kama umepata nafuu ni jambo la kumshukuru Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom