Nilikuwa naitafuta hii comment!.😀Tupiamo basi ka screenshot
Aisee si mchezo. Am speechlessHis last seen...View attachment 891523
mmh! ngoja nikujibu PM mkuuAnaishi na nani?
Wewe mwenyewe unaonekana ni mwiziH
Hapana mkuu ni yeye
poammh! ngoja nikujibu PM mkuu
Huyu niachie mimi. We jamaa unataka ule peke yako?Kama huwa unapiga ulabu utakuwa ni dada mzuri!
AhsanteWewe mwenyewe unaonekana ni mwizi
Amekuibia nini?Wewe mwenyewe unaonekana ni mwizi
mwambie awasalimie aendako.....Mkuu yani unajua hadi ananitisha. Nimemuuliza swali, kuwa anavuta bangi? akanijibu kwa kifupi kuwa hata South Africa inaruhusiwa. yaani hadi muda ninavyotaipu hii comment bado sms zinaendelea kuingia za kuwaaga wanaJF!!

Shauri zako....mmh! ngoja tu ninyamaze sasa, sms anazotuma muda huu. Anaandika jina langu tu. haandiki kitu kingine.
Mentor nakaribia kukubali uliyosema. Ila sasa sijibu nimeamua tu kukaa kimya
😳😳😳😳Shauri zako....
Karipoti polisi. Akidedi utaisaidia sana polisi ukiwa lupango.