- Thread starter
- #161
Kama yeye amefanya utani, basi atakuwa mpuuzi wa kutoka nje ya nchi😡😡😡Kama huyo mtu ana uwezo wa kutuma Message anashindwa nini kufungua uzi maalum wa kuwaaga wana jf, ama kukoment basi kwenye uzi mwngine aage!
Kama ni mtu mnakaaga mahali mnapata vitu mbalimbali obvious utakuw unajuana na rafiki zake wengine, Jaribu kucheki nao kama kuna ambae mshkaji amewasiliana nae au anataarifa zake, au uwaombe wamchek ili ujue moja!
Huenda pia ni utani wake kwako coz hatujui mipaka yako na yeye

