Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Status
Not open for further replies.
NAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
 
Pole sana mkuu kwa yote yaliyokupata

Ilikuwa serious sana? Maana kwa maelezo ulikuwa unaaga kuwa unaenda kwa Baba kwa maana rahisi ulikuwa unakikaribia kifo kwanini ulifikiria hivyo?
 
mmh! mie naogopa. ila anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF kuwa anakwenda kwa baba mbinguni

Pole mkuu. Inabidi uwe makini kidogo hapo. Signature yako hii inaweza kukusaidia.

FURAHIA MWISHO, USIFURAHIE MWANZO
 
NAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
Ashukuriwe Muumba kuwa unaendelea vizuri. Ila siku nyingine usiage haraka maana unaweza kusababisha taharuki kwa wakupendao
 
Ugua pole mkuu.Binafsi nimefurahi kuona unaendelea vizuri.
 
NAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
Kwanini wewe na demu wako NAHUJA mlipanga kuwarusha roho wajukuu zangu hapa jamvini?
 
Ashukuriwe Muumba kuwa unaendelea vizuri. Ila siku nyingine usiage haraka maana unaweza kusababisha taharuki kwa wakupendao
Ahsante sana!
Yale mafunzo tunayopewa hayatupi woga wa kuihama dunia kwa sababu tunajua wazi kuwa kuna maisha mengine tena mazuri sana ndo maana wanaoenda huwa hawarudi.
Again; thanks a lot!
 
Kwanini wewe na demu wako NAHUJA mlipanga kuwarusha roho wajukuu zangu hapa jamvini?
Umri wetu (Tutor B + NAHUJA) ... kwanza tutake radhi ...
Unamuita demu?????
Ok back to your post ....
Ilikuwa taarifa ya kweli tu mkuu sio kuwarusha watu roho!
 
NAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.

Majibu mepesi sana HAYA!
 
Pole sana mkuu kwa yote yaliyokupata

Ilikuwa serious sana? Maana kwa maelezo ulikuwa unaaga kuwa unaenda kwa Baba kwa maana rahisi ulikuwa unakikaribia kifo kwanini ulifikiria hivyo?
Ukiwa unaumwa, ukabaki ndani peke yako ... kuna hali fulani inakujia kuwa lolote laweza kutokea.
 
NAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
dah pole sana mkuu nikawa nawaza kiongozi ka vile ulikuwa umechoka kuwa nasi, mungu ni mwema
 
Wanajf habarini za asubuhi.

Leo asubuhi nilipokea sms kutoka kwa mwanaJF mwenzetu Tutor B. katika ujumbe wake aliandika kuwa anaumwa sana.

Baada ya kusoma ujumbe huo nilimpigia akakata simu, akaandika tena sms akisema nisimpigie ila nitume sms kwa kuwa anaumwa sana kichwa na kwamba amezuiliwa kuongea na simu kwa muda wa siku 90.

Lakini sasa kitu ambacho sijamuelewa ni hizi sms zake ambazo ambazo alinitumia kwa mfululizo, Hapa nitazinukuu.

1.Wajulishe wanaJF, unisaidie kuwaaga
2.Waage kabisa, taarifa zingine mtapata kwa redio na TV
3. Waambie tuonane ulimwengu wa roho
Nikamuuliza swali, ina maana hutaingia tena JF? akanijibu:
4. Nitaingiaje wakati naenda kwa baba? Nasikitika kuondoka...
5. Najisikia kuhama ulimwenguni kuna sehemu nyingine nzuri zaidi
6. Vipi mbona unaguna? Pole kwa kunipoteza.

Na bado hadi muda huu anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF

Nimeona tu niweke huu uzi hapa maana, simuelewi huyu member kwa haya anayonitumia kwenye sms.
mtu anayekufa hana makeke hivyo.
 
Umri wetu (Tutor B + NAHUJA) ... kwanza tutake radhi ...
Unamuita demu?????
Ok back to your post ....
Ilikuwa taarifa ya kweli tu mkuu sio kuwarusha watu roho!
Ningekuwa simjui nisingemwita hivyo. Wewe na yeye wote mnapaswa kuniamkia...

BTW kama ulikuwa unaweza kumtext atupe taarifa kuwa unaumwa... kwanini hukuanzisha thread mwenyewe kutuhabarisha?

Tukiacha hayo kwahiyo hivi sasa ushapona kabisa? Tatizo lilikuwa nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom