Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,845
- 831,094
Kuna ndugu yangu alikuwa anasumbua sumbua ohoo nataka kunywa sumu.nikaenda kumletea.eti akaondoka kunishtaki kwa wazee nataka kumuua..Israel habipiwi bna.maisha yenyewe magumuMungu wangu![]()
Nao wakamzaa Kaini, akamjua tena wakamzaa HabiliKama mnajuana hapo sawa ukute anataka mkaendelee mlipoishia kama kawaida....Adamu akamjua mkewe...
Ahahaa yajayo yanafurahisha etianaumwa alafu anawasha data Ana log in JF na kuanza kuchati.. mwambieni aache masihara ataenda kwa baba kweli
Aisee pole nyingi kwake Bwana akamponye na kurejea katika afya yake njema.TAARIFA RASMI
nimefanikiwa kuongea na mhusika anaumwa alipata ajali ndogo ila anaendelea vema...poleni sana kwa usumbufu wote...
Naombeni hizo namba jomoniAsante
Huko mbinguni kapewa mwaliko au anaenda tu?mmh! mie naogopa. ila anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF kuwa anakwenda kwa baba mbinguni
Wewe jamaa umenifurahisha sana japo tupo kwenye huzuni hapa naona unataka kukamata fursa .Kama unajua anakoishi, nipitie twende wote kumuona.
Scenario yangu inapata nguvu
View attachment 891519
Jamaa last seen ni saa 10:34 leo.
NAHUJA kama scenario yangu ni ya hovyo huyu mtu anakuwasilishia hisia fulani kazi ni kwako kung'amua.
Hii ilitakiwa iwe vice versaNdio tunajuana lakini hatufahamiani
Wanakuja pm wengi ila naogopaga kuwapa mawasiliano😀😀😀😀😀😀Huwajui kwa sababu hamuwasiliani,mkianza kuwasiliana mtajuana kwani ulianzaje kufahamiana na unaojuana nao??
Leta majibu umeshaenda kumwona?Huyu ni rafiki yangu wa karibu sana mkuu
Daah unakosea sana achia nafasi na uweze pembua pumba na mchele kwani kusikiliza sh.ngapi huwezi jua ya Mungu mengi,au nafasi imejaaWanakuja pm wengi ila naogopaga kuwapa mawasiliano![]()


Dah kwa hiyo hatutapata taarifa zako?


Asante kwa taarifa mkuu. Itakuwa aligonga kichwa bila shaka.TAARIFA RASMI
nimefanikiwa kuongea na mhusika anaumwa alipata ajali ndogo ila anaendelea vema...poleni sana kwa usumbufu wote...
Dah kwa hiyo hatutapata taarifa zako?
Haiwezekani.![]()
aisee hata unyayo sijaacha humu kama ushaidi .Siwezi kaa bila Jf siku ukiona nimepotea ndio hivyo itakuwa safari tena nitakie tu kila la kheri nilale salama .
too late, amekiri wanakunywaga pamoja, kwa hiyo kama ni inshu ya kufunuana imeshaga pita kitamboI am assuming wewe ni wa KIKE.
I am also assuming kuwa yeye ni wa KIUME.
Kama ndivyo, na hamna UNDUGU wowote ni urafiki tu, tena wa kupitia JF..USIENDE KWAKE. #ushauriTU