DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Habari!.
Fikisha kwa jamii.
Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:-
Degree 170k *7
Diploma 150k*7
Certificate 100k*7.

Lakini wao kwa dhurma zao, wameamua kutumia Muongozo wa zaman wa 2022 ambao ni 150,130,80k.
Hivyo basi, ajira mpya wa Muleba kwa unyenyekevu mkubwa tunaomba mamlaka husika na Waziri mwenye dhamana @Mh Mchengerwa, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mbunge wa Muleba walishughulikie hili. Waheshimiwa, Mkoa wa Kagera halmashauri zote zinanuka ufisadi.

Ahsante
 
Huu ndio Muongozo wa malipo ya kujikimu kutoka serikalini, lakini Muleba hawajatumia huu Muongozo kulipa,wametulazimisha kuandika barua kwa rate ya 150k degree,130 diploma,80 certificate. Na tukiuliza tunajibiwa kejeli na dharau
 

Attachments

Habar
Naomba kuwasilia malalamiko ya wafanya kazi kutoka wilay ya muleba mkoani kagera
Ajira mpya 2024 hadi leo hii hawajalipwa stahiki zao za kujikimu na hakuna sababu maaalum. kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba viongozi husika mtusaidie katka hili mh wazir hisika, mkuu wa mkoa wa kagera, na mbunge tunaomba kusaidiwa kupat haki zetu jamani

Dhulma na ufisadi sio sababu ya mafanikio kuna maisha baada ya maisha ya dhulma na ufisadi tumuogope mungu.
 
Habari, Kuna ndugu yangu yupo halmashauri ya wilaya ya Muleba. Yeye pamoja na wenzake kama 70 hivi wameajiriwa mwezi 11,2024 lakini tangu wafike wilaya hiyo hawajawahi kulipwa hela ya posho ya kujikimu na kila wakiuliza kuhusu hiyo pesa hawapewi majibu yanayoridisha, mfano hivi karibuni wamejibu kuwa pesa zinasubiri UPLOADER tu akipandisha kwenye mfumo wa malipo ya hao wafanya kazi. Licha ya kuwa waliambiwa watume account number kwa ajili ya malipo ambapo sasa ni takriban mwezi umepita lakini bila mafanikio. Wakati huohuo serikali ilisema imelipa pesa za kujikimu kwa ajira mpya wote walioajiriwa mwezi 11,2024.Sasa mdau anauliza je ni kweli pesa hazijatumwa wilaya hii(Muleba), huku ukizingatia kwamba ndio mwaka mwingine wa fedha ukilinganisha na Halmashauri zote za hapa Tanzania? Na kama bado je shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom