pesa za kujikimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya Kilindi hatujalipwa pesa za kujikimu

    Baada ya kuajiriwa, hatukulipwa fedha za kujikimu kama inavyopaswa. Tuliingizwa kwenye mfumo wa malipo (payroll) na kuanza kuripoti kazini, lakini stahiki hizo bado hatujazipokea. Kutolipwa fedha za kujikimu kumesababisha changamoto kubwa katika maisha ya kila siku, kwani baadhi yetu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wapya wa Halmashauri ya Chunya hatujalipwa stahiki tezu

    Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa. Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa malipo hayo wala lini watumishi tutalipwa. Hali hiyo imeanza kuathiri...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu waajiriwa Januari 2026 Wilaya ya Mpwapwa, hatujapewa fedha za kujikimu

    Sisi walimu walioajiriwa Januari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, hatujapewa fedha za kujikimu. Mamlaka zimekuwa zikituzungusha bila majibu ya msingi. Tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu ili suala hili lipatiwe ufumbuzi.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa TAMISEMI shughulikia tatizo la ajira mpya katika Halmashauri mbalimbali kutolipwa fedha za kujikimu

    Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha za kujikimu. Wengi wetu tuliajiriwa ndani ya siku 100 za Mama Samia mwezi Januari. Hata hivyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Ualimu Morogoro hatujapewa pesa za kujikimu hadi sasa

    Ajira mpya katika kata ya Ualimu mwaka 2026 Mkoa wa Morogoro (Dc) hatujapewa pesa za kujikimu mpka sasa Na kila tukiuliza wanatupa majibu ya mkato Msaada katika tafadhari. Kwako Ofisi ya Tamisemi chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu
  6. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu halimashauri ya wilaya Kiteto hatujalipwa Pesa za kujikimu tangu Januari

    Nimeajiriwa Halimashauri ya wilaya Kiteto kuanzia mwezi wa kwanza lakini mpaka leo pesa za kujikimu kwa watumishi wapya upande wa ualimu hazijatolewa mazingira magumu naomba mtusaidie kupaza sauti maana Jamii Forums ndio umekuwa msaada wetu
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hadi sasa Wilaya ya Mpwapwa hatujapata fedha za kujikimu

    Mimi ni mwalimu wa ajira mpya wa Februari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma. Tunaomba msaada wa kufikisha kero yetu kwa mamlaka husika ili suala la malipo yetu lipatiwe ufumbuzi. Hadi sasa hatujapokea fedha tulizoahidiwa, licha ya kuambiwa kuwa zingelipwa ndani ya muda mfupi...
  8. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mliotumia pesa za kujikimu (BOOM) la chuo mkatoboa mmefanyaje huenda wadogo zenu wakasaidika

    Kwangu mimi niliweza ku-save lakini sio kiasi kikubwa sana hadi namaliza chuo ni kama naanza upya Sasa nimekutana na mdada katika story mbili tatu ananiambia pesa ya Boom ndio iliyomfikisha hapo, kiukweli na biashara anayofanya na zile pesa za kila baada ya miezi miwili ni mbingu na ardhi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mji TARIME imekaidi agizo la Katibu Mkuu TAMISEMI kulipa posho za pesa za KUJIKIMU watumishi wapya

    Habari, mm nimwajiriwa mpya wa serikali katika Halmashauri ya Mji Tarime ajira za mwezi January 2026, pamoja na katibu mkuu TAMISEMI kutoa waraka wa kuelekeza watumishi wapya wote walipewe pesa za kujikimu kufikia tarehe 15 June 2026 lakini mpaka leo hatujalipwa pesa hizo, wametufanyia danganya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Busega ajira ya kuanzia January 2025 hadi April 2026 hatujalipwa pesa za kujikimu

    HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE. Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu. Tumekuwa tukifatilia...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya 2026 USHETU DC hali ni tete. Hatujapewa PESA ZA KUJIKIMU

    Mkeka wa ajira ulitoka Januari 19 mwaka 2026. Hadi kufikia februari 10 mwaka huu waajiriwa wapya wote walikuwa wameripoti kazini. Halmashauri ya Ushetu mpaka sasa haijalipa posho ya kujikimu kwa kada zote na kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu hilo. Jibu la awali lilikuwa kwamba pesa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Kyerwa: Pesa za Kujikimu zimekuwa Changamoto

    Pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya kyerwa ajira mpya hatujapewa bado, na uongozi ulituambia pesa zipo tangu February/March 2026 tunaomba uongozi utupe mrejesho nini kinaendelea. Soma Pia: Ajira mpya Halmashauri ya Korogwe Vijijini hatujapewa pesa za kujikimu
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya: Namtumbo mkoani Ruvuma hatujalipwa Pesa ya kujikimu

    Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu. Tabia hiyo imekuwa ikijirudia rudia hata kwa ajira ya mwaka 2024. Tunaomba mamlaka itusaidie tupate pesa yetu ya kujikimu
  14. B

    JamiiForums Tanzania KERO Kutokulipwa pesa za kujikimu zaidi ya miezi 10 sasa Halmashauri ya manispaa ya Geita

    Ni zaidi ya miezi 10 sasa tangu tuajiriwe katik halmashauri ya manispaa ya geita. Kila tukiuliza wanasema hela hazijatolewa kutoka serikali kuu. Muda mwengine tukiuliza wanatujibu kikejeli sana kwamba "kwani mshahara si mnapata?, kama mnashida na hela mkakope si vigezo mnavyo" Hii ni kuonesha...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Kongwa Hatujalipwa Pesa Za Kujikimu, Ukihoji Hawana Majibu ya Kueleweka

    Ajira Mpya Halmashauri Ya Kongwa Hatujalipwa Pesa Za Kujikimu, Ukihoji Hawana Majibu Ya Kueleweka Wanakua Na Kona Kona Nyingi Sana Kongwa ipo mkoa wa Dodoma, Ajira ya January 2026 (ajira ya mwaka 2025 wamelipwa mwezi uliopita laki 4 tu, wamepunguziwa), Kada elimu. Soma pia Watumishi wa Afya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga Watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga , watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu, pesa za Kupanda kwa madaraja, pesa za Uhamisho tusaidie...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbulu DC kuna kikundi kinatumia STAHIKI ZA WATUMISHI! Mamlaka chunguzeni

    Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi hatulipwi pesa ya mda wa ziada. Kuna miezi walisema pesa zimechukuliwa zinaenda kulipa mwenge, mwezi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Pesa za Kujikimu Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

    Habari wadau, Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa Tamisemi Sumbawanga municipal council. Watu wanalalamika hawalipwi
  19. M

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Kero ya Watumishi wa Umma Nchi nzima, Ajira mpya kutokulipwa pesa za Kujikimu Serikali imeamua kuipuuza?

    Naandika hapa nikiwa nimejawa maswali yasiyo majibu hasa baada ya kuona ndugu yangu akiishi kwenye mazingira magumu sana mara baada ya kupata Ajira tangu mwaka jana, alitakiwa kupewa pesa ya kujikimu ila hajalipwa hivyo kageuka ombaomba kila siku wakati kuna haki yake imeminywa na hapewi majibu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Ushetu hatujapata pesa za kujikimu, tukiuliza wahusika wanakuwa wakali

    Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini! Tukienda halmashauri wanakuwa wakali, hakuna majibu ya kueleweka! Swala la hela ya kujikimu kila halmashauri inatakiwa tulipwe...
Back
Top Bottom