papaa2015
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 411
- 101
mpaka 2015 tutakuwa tumeona mengi,hivi majuzi tumesikia darasa la saba kujiunga na chuo kikuu hilo halikuwa la ajabu sana,ila kinachostaajabisha ni kwamba tunavyo vyuo vya elimu ya kati vinavyotoa vyeti na stashahada ambavyo tulitegemea hao la saba ndo wangeanzia...........Je,ni kweli hatuhitaji wafanyakazi wa kati yaani technician wenye certificate na diploma hadi la saba wajiunge na shahada moja kwa moja?
Na kulikuwa na umuhimu gani wa kutangaza matokeo kama hayakuwa sahihi?Nani amewajibika kwa hilo ili tushawishike kukubali kuna kosa lilifanyika?Na kama ni kurekebisha matokeo yaonekane mazuri,tunafanya hivyo kumfurahisha nani na ni kwa faida ya nani? mwisho,tunajenga au tunataka kufurahisha nyoyo zetu?
kama tutakubali siasa iongoze taaluma basi kuna hatari ya elimu yetu kupoteza mwelekeo