nguvukazi mikono
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 490
- 32
wapi uko au mum? mtaishia kujifariji ivyo ivyo..lakini ukweli mnaujua ni kina nani ndio cream ya nchi hii.
kilimo cha nyanya kinalipa sana mkuu mara milion nyingi ya kuuza kahawa na kashata,sema unadharau tu bure.
Najua kwanini unawateta hawa jamaa,wao ndio wamekufikisha hapo ulipo wewe kwa kukupeni mitihani.
Mbona uendi kulima nyanya unaangaika kutafuta kazi ya Tsh 500,000/month
Ngoja neendelee kuuza kahawa na kashata ili nipate mtaji wa kwaajiri nyinyi wapewa mitihani na Ndalichako na yule Padr wenu wa kitengo cha kupanga matokeo pale Baraza.Hamna uwezo wa kujiari nyinyi elimu nyewe ya kutunukiwa na Padri pale Baraza la mitiahani utapata wapi uwezo wa kujiajiri