AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Mkandala ajiuzulu? Chezea posho wewe alafu maisha yenyewe yalivyo magumu!
ni wazo jema
bora kulinda PhD zao kuliko kukubali kuuwa elimu kisiasa.
Form 4 wa sasa watakaobebwa watakuwa kituko form 6.
selikari ni nan? na kwanini akatae so kama mtu kaumizwa kwanin selikali isiingilie kati? maamuz ya selikali ni mazur na yana tija kwa baadae wala sio siasa kama kuna sababu maalum acha haki itendeke.
Mukandala anahusika vipi na matokeo ya olevel? au wameenda kuomba ushauli senet ya udsm? Hueleweki!
Habari za udaku hizi unaziweka hapa JF? kapeleke huko vijiweni wa wala ugoro!
Suala la kuboresha matokeo haliwezi kupuuzwa katika kipindi hiki cha mpito.
Ni lazima matokeo yaboreshwe ili vijana wetu waweze kuendelea na masomo.
Lakini, katika kulitekeleza hilo, wanafunzi wanaopaswa kufaidika na mpango huu ni wale tu wenye div 4 ya point 26-28.
Kundi ili ni wale wenye walau alama C moja mpaka mbili, kwa hali kama hiyo matokeo yakiboreshwa, hawa wataweza kuendelea na masomo.
Lengo kuu la serikali katika ili sio zima moto, la hasha, ila katika kuendeleza juhudi za serikali kuboresha elimu, huu mpango utatumika mwaka huu tu ili kukabiliana na janga la wanafunzi kukosa shule kidato cha 5 na 6.
Kwa wale wote wapenda taifa lao na wanaojali maendeleo ya elimu, wataupa ECKO mpango huu wa serikali.
We jamaa hujawai kutoa habari yeyote ya kweli. Kama nasema uongo, nipe link ya uliyotabari na yakatokea.
Mukandala anahusika vipi na matokeo ya olevel? au wameenda kuomba ushauli senet ya udsm? Hueleweki!
mama ndalichako ni mama anayestahil sifa NECTA.ameweza kupadhibiti uvujaj wa mitihan umekomeshwa watu sasa wanaleta chuki tu binafs.hawez kukubal kuyumbishwa ktk suala la elimu kwa sabab ya wahun wachache.tunajua kwa nin watu wanamchukia
Mkuu huyo jamaa ni porojo na propaganda tu.
uyu mama ni mwanamke wa shoka.....