Kuajiriwa ni utumwa

Sio makasiriko wala , nakushauri tu πŸ˜ƒ uzi wako kukaa kwa shemeji bado naukumbuka πŸ˜ƒ halafu nipo bar makasiriko ya nini sheikh
Kwa akili zako za kilevi ukaamini sio..!
Huna lolote debe tupu wewe
 
Kwa akili zako za kilevi ukaamini sio..!
Huna lolote debe tupu wewe
Hahaha kuwa mpole dogo , debe tupu ukimaanisha ni mimi nakaa kwa shemeji na kuangaika na utitiri wa I'd humu kama weweπŸ˜ƒπŸ˜ƒ tulia tutakupandishia comment zako za kutia mashaka humu, utakimbiaπŸ˜ƒ
 
Hahaha kuwa mpole dogo , debe tupu ukimaanisha ni mimi nakaa kwa shemeji na kuangaika na utitiri wa I'd humu kama weweπŸ˜ƒπŸ˜ƒ tulia tutakupandishia comment zako za kutia mashaka humu, utakimbiaπŸ˜ƒ
Mkuu sina hulka za kuwa Kalia kimya ego headed cowards. Na sina aibu kabisa.
 
Ila kule TRA sio utumwa hata traffic police.
 
Tulia Eva πŸ˜ƒ umeshasanukiwa mwanzoni ndio nikua naona kama una akili, sio sasa.
Issue ni kuwa napiga kwenye mshono..

Sina hiyana mimi, unajitaftia umaarufu kutukana watu eti una hela kumbe kapuku mmoja tu
 
Ni kweli mkuu... Ningependa unifafanulie zaidi maana umeongea kifupi sana. What best way naweza kufanya vyote hivyoo.. Ajira ipi na kujiajiri katika fani ipi?
 
Ni utumwa ukiwa na ajira ila ukiwa hauna ni baraka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…