Kuajiriwa ni utumwa

Bado hujui biashara wewe... Alafu hiyo elfu kumi hapo umeingia mkataba labda wa miaka kadhaa na gari matengenezo ni wewe mwenyewe
 
Maisha sio utumwa, maisha ni zawadi
Sasa hivi kuna mtu anawaza akawinde aibe mali za mtu, wakati huo mwenye mali anawaza alinde mali zake zisiibiwe. Katika hali kama hii watu tumeibuka na presha, sukari, chuki, papasupaparu kila wakati. Yote kuyapambania maisha ambayo nayo mwisho wake tutayaacha
 
Una point usikilizwe😂😂
Ila mkuu Mungu hukutuumba akiwa na kusudi la evolution, lazima uishi, survival ni part ya maisha. Haikwepeki
 
Una point usikilizwe😂😂
Ila mkuu Mungu hukutuumba akiwa na kusudi la evolution, lazima uishi, survival ni part ya maisha. Haikwepeki
Sasa taratibu unaanza kuelewa kwanini maisha ni utumwa. God created us to live ✓, not to survive ×. Mungu alitaka tuishi (hiyo ndio zawadi ya maisha), ila sisi tukajiamulia mambo ili tusurvive (na hapa ndio utumwa unapoibukia).
 
Sasa taratibu unaanza kuelewa kwanini maisha ni utumwa. God created us to live ✓, not to survive ×. Mungu alitaka tuishi (hiyo ndio zawadi ya maisha), ila sisi tukajiamulia mambo ili tusurvive (na hapa ndio utumwa unapoibukia).
Well ndo maana Nilikwambia life is a gift.
Ni mwanadamu ambae akijijngea jela.
 
Mmesoma course hazina kichwa wala miguu mnaanza kusema kuajiriwa ni utumwa kwasababu tu hamuwezi kupata ajira tena na hamna matumaini.
Mlikimbia Shule maisha yamewatia kila sehemu, mnasingizia eti kuajiriwa ni utumwa kwasababu tu mnajua hamna elimu.
Nyie endeleeni kuteseka kujiajiri sisiemu wanafurahi kuona mnhangaika kazi yao kuwatungia majina ya Maafisa usafirishaji, Machinga, Maafisa lishe, nk.
Mtu umefungua kibiashara uchwara cha laki5 au million eti unasema kuajiriwa ni utumwa, wakati hata hela ya fremu ya mwezi 1 tu huna MATAKO YAKO.
Mimi nipewe hiyo ajira hata leo sitakataa maana waliojiriwa wanafaidi nchi kwa mishahara ya bure kazo yao kuamka asubuhi na kwenda kupiga stori ofisini
 
Jiwe alikuwa shetani bhana.
 
Mm i dont feel the sh**t about it , niliamua kufocus na mambo yangu
 
Mm kazi ambayo uwezi kukua , innovation , rewards na kuongeza kipato aj kunegotiate na mwajiri ni kupoteza mda labda kuwe na allowance nzuri na mipigo tele , sasa una mshahara chini ya milion kwa miaka mitatu hela ikiongezeka hata laki moja aifiki na mtu unakuta yupo comftable kabisa ,hell no lazima uchunguzwe kwanza
 
Kama bado matumizi yako ya kila siku unategemea hiyo hiyo biashara ,kwa nini usingeendelea kupiga kazi na ukafungua hilo duka la vifaa vya ujenzi ukaweka utaratibu na kanuni , halafu ukaajiri mtu hapo?
Kiongozi uchungu wa pesa na maono uko naye yule anayeanzisha kitu ukijichanganya unaacha ndala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…