klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
heheeh afazali umeanzisha sredi, manake ukija ovyo ovyo na matenge yako huku nakutimua, skujua na wewe ni memba wa JF. Khaa JF bana
heheeh afazali umeanzisha sredi, manake ukija ovyo ovyo na matenge yako huku nakutimua, skujua na wewe ni memba wa JF. Khaa JF bana
tehe tehe tehe tehe....sasa we unataka tuishie kumwandaa tu yeye...inafaa na sisi wazoefu tukaonesha uzoefu wetu kwa kufanya real practical. i mean we may need to put our advices into actions!!!!! naomba ulifikirie vizuri ombi langu na siyo kulitupia kapuni na kuniombea eti nishindwe halaf mbaya zaidi eti nilegee kabisa!!!!! pls be considerate!
hehehe daughter umeadimika wajameni? nani amekuficha? mambo?kumbe we ndo mtupa nyavu?
hehehe daughter umeadimika wajameni? nani amekuficha? mambo?
Kuna kivazi kimeingia hivi karibuni kinaitwa LadyPepeta, nadhani kingekufaa sana sana ila kwa upande wa rangi ningeshauri uvae zozote zile ili zenye rangi ya hudhurungi na chanikiwiti.
lol....................kumbe anakwenda date na LAWYER ..lol...
kazi ipo....lol
Usiseme kwa sauti The Boss yupo around anaweza akafuja anytime. Ifakti Date yake hatoijutia lakini ndo hivyo akija na maguo ya ajabu ajabu hata kinywaji atalipia kwa hea yakemi niko poa sijaadimika wala nini ila naona uko bize kuandaa date ya kwanza huyu mrembo
Usiseme kwa sauti The Boss yupo around anaweza akafuja anytime. Ifakti Date yake hatoijutia lakini ndo hivyo akija na maguo ya ajabu ajabu hata kinywaji atalipia kwa hea yake
heheeh afazali umeanzisha sredi, manake ukija ovyo ovyo na matenge yako huku nakutimua, skujua na wewe ni memba wa JF. Khaa JF bana
Kivazi gani nitupie? Nimealikwa kwenye kitchen party!
Natanguliza shukrani.
Suala la muhimu ni kile anachokivaa na anayetaka akione umeona eeeeeeee! we umepaki akili yako kwenye mavazi tu, mhurumie na huko anakoenda kuonyesha hayo mavazi, yaani kinachomhangaisha kutafuta aonekane vp
Nisamehe bure tu ukikasirika naweza kuugua tena
Jitihada zote ni kwa ajili ya klorokwini mwe.
mguu wenyewe anao wa kuvalia hiyo pedo!?mwayego we jivalie Baibui na usoni jifunike,usiruhu akuone mwili wako ni mapema mno!Piga pedo pusha ya njano blauz nyekundu ,weka hereni za bluu,lips weka silver,hapo kwenye eyes paka njano itaendana na pedo, miguuni high heels za zambarau ,nywele ziwe za brown tafadhali,sipati picha unapendezaje mrembo!
heheeh afazali umeanzisha sredi, manake ukija ovyo ovyo na matenge yako huku nakutimua, skujua na wewe ni memba wa JF. Khaa JF bana
Shika adabu yako wewe, unajua nakuheshimu wewe! Kwanza nimewauliza dada zangu, sasa wewe yamekupataje? MAJUNUNI....!!!