Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 763
Vaa kichupi cheupe
Huyo tulikutana shule, wote tulikuwa tumevaa uniforms..........
lakini kwani kwa maisha ya sasa kuna mtu anayeenda kwenye kidate kwa mguu au kwa daladala? Hawezi onekana na mtu mwingine!!Mh..! humtakii mema mwenzio wewe, sasa akivaa hivyo hata kwenye mtoko kwenyewe atafika kweli? Si watatokea admirer zaidi ya mia on the way huko ?
mbona kazi ndogo? Why worry? Just take the initiative and book a seaside room at the Seacliff,mkaribishe,akija akute umevaa vazi rasmi ulilozaliwa nalo.
Hahahaha! Usiogope Zinduna, jiamini and vaa simple sana!
Rejao changamka hapahahahaaaa, napanua wigo bana, c unajua habari ya mpango wa kando in case vigezo na masharti havitazingatiwa? lol
Halafu wewe kule mbona umekimbia sikuelewi ujue...Vaa kichupi cheupe
Rejao changamka hapa
Hahaha!....nna hakika huezi chapia bana...mie nakutakia kila la kheri ila ukumbuke kubeba hela mpendwa usijefika huko ukaambiwa ujilipie vinywaji...lol.Sweetlady, si unajua mapenzi ya shule kukutana kwenye vioski vya ice cream kama pale Steers, sasa huko kwa wakubwa, lazima utafute ma-idea kwa wakongwe, la sivyo waweza jikuta ume-chapia....lol
mmmh....na mimi ngoja nianze kusaka mwingine hapa lili tuende sawa! siku hizi naona ratio ya 1:1 haiapply kabisa! Ni mwendo wa one to many!hahahaaaa, napanua wigo bana, c unajua habari ya mpango wa kando in case vigezo na masharti havitazingatiwa? lol
mbona kazi ndogo? Why worry? Just take the initiative and book a seaside room at the Seacliff,mkaribishe,akija akute umevaa vazi rasmi ulilozaliwa nalo.
TF...bombu wangu,,,,naona bado anataka kuangalia angalia pembeni! inabidi niongeze matumizi lol !Rejao changamka hapa
mmmh....na mimi ngoja nianze kusaka mwingine hapa lili tuende sawa! siku hizi naona ratio ya 1:1 haiapply kabisa! Ni mwendo wa one to many!
kumbe ndio stail yenu...dah! hii nilikuwa siijui, kweli wazee tunakazi!!tehe..tatizo siku hizi njiani kuna vikwazo viiingi, kwa hiyo lazima ubebe na tents kabisa ili hata mvua ikinyesha au giza likiingia hujafika uendako usikose pa kujikinga/kulala
TF...bombu wangu,,,,naona bado anataka kuangalia angalia pembeni! inabidi niongeze matumizi lol !
kumbe ndio stail yenu...dah! hii nilikuwa siijui, kweli wazee tunakazi!!
Nani huyo? TF hana madhara lakini.. ni gentleman!Umeona sasa? naona umeanza kuilewa hii lugha, ongeza speed, kwani naona tunakikaribia kiunzi cha mwisho, lol
Ila pia namuona mtu mmoja nyuma yetu huku anatujia mbio kweli