sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Samahani Mh. Lawyer mie mgeni hapa tanzania 'MAJUNUNI' ndio nini vile?Khaaa! yaani mie majununi? najuta kumleta prince charles bongo
Samahani Mh. Lawyer mie mgeni hapa tanzania 'MAJUNUNI' ndio nini vile?Khaaa! yaani mie majununi? najuta kumleta prince charles bongo
lazima ni bi Hindu huyo...lol
Niombee dua basi wajameni?Ngoja nikaswali kwanza Adhuhuri, nitarejea bidae....
Hahaha...mwambie na mimi nakusanya majivu ya kumpaka...leo atajibeba.
Majununi kwa kihabeshi ni mtakatifuSamahani Mh. Lawyer mie mgeni hapa tanzania 'MAJUNUNI' ndio nini vile?
Hahaha...mwambie na mimi nakusanya majivu ya kumpaka...leo atajibeba.
Mkuje na ugali kidogo, nina njaana dera la jana njoo nalo kabisa tutamvesha huyu....
Hahaha...bht zihurumie mbavu zangu tafadhali..na dera la jana njoo nalo kabisa tutamvesha huyu....
Lol... Lawyer na kusutwa kote bado una appetite ya kula???Mkuje na ugali kidogo, nina njaa
Mkuje na ugali kidogo, nina njaa
Hahaha...bht zihurumie mbavu zangu tafadhali..
haaf pia mkija kunisuta mkuje na nguo transparent ili nisutike vizuri, dah! nitakoma leoweee nani alikwambia msutwa anaagiziaga?? utajibebelea leo....
Dr Riwa amesisitiza ukisutwa na njaa inasababisha matege ya miguuLol... Lawyer na kusutwa kote bado una appetite ya kula???
Hahaha!kisha a.k.a yake ni MAJUNUNI ....lol!!!
Namshangaa!weee nani alikwambia msutwa anaagiziaga?? utajibebelea leo....
heheeh lawyer majununi. khaaaa! lakini imematchkisha a.k.a yake ni MAJUNUNI ....lol!!!
Hiyo ni kama unasutwa bila tarumbeta....Dr Riwa amesisitiza ukisutwa na njaa inasababisha matege ya miguu
mnakawia bana! mi nasubiria muanze kunisuta kwa PM mjueNamshangaa!
kwani nyinyi mtakuja na tarumbeta?Hiyo ni kama unasutwa bila tarumbeta....
Tarumbeta, majivu, dera...bha atajazia nilivyovisahau...kwani nyinyi mtakuja na tarumbeta?
Khaaaaaa! Mungu atanilipiaTarumbeta, majivu, dera...bha atajazia nilivyovisahau...