Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

Darling ndio nini sasa? Yaani mie kutoka kidogo tu ushaamia kwa Zinduna?

Utaniua kwa presha switie...hicho kidumbaki si umesema utanifundisha? Yaezekana wa mikoani tunakijua kwa jina jingine bana!

Afu love huyo biskuti ya chuma asikutishe wala nini mie wala hanirushi roho so just relax my lolypop!
Sweetlady unanitosa jamani..!"
 
Darling ndio nini sasa? Yaani mie kutoka kidogo tu ushaamia kwa Zinduna?

Utaniua kwa presha switie...hicho kidumbaki si umesema utanifundisha? Yaezekana wa mikoani tunakijua kwa jina jingine bana!

Afu love huyo biskuti ya chuma asikutishe wala nini mie wala hanirushi roho so just relax my lolypop!
Sweetlady kaa kwangu,huyo c honey wako tena kahamia kwa ZINDUNA,soma alama za nyakati,AKUFUKUZAE HAKUAMBII TOKA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom