Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

Crystal%2BFireball%2BStud%2BEarrings.jpg


Scene%2BStealer%2BNecklaces.jpg
Karen%2BWalker%2BSunglasses.jpg

Antonio%2BBerardi%2BPaneled%2Bsleeveless%2Bwool%2Bdress.jpg

Diane%2Bvon%2BFurstenberg%2BMaja%2BSnapped%2BBack%2BSilk%2BDress.jpg


DSQUARED2%2BPump%2BCarrie%2BVernice%2BSfumata.jpg
YSL%2Bclassic%2BBelle%2BDe%2BJour%2Blarge%2Bclutch.jpg

The Finest una duka la urembo? Nataka kuwa mteja wako!
 
labda nilegee tu lkn kushindwa itakuwa ngumu....lkn kwa nini unaamua kumfanyi mwenzio ivo? punguza hasra..maisha hayaendi ivo!

sie twampamba mwali anataka leo akaliwe vitu,
tena weye waleta matani, mbaya eeh.
 
Wanawake mnaona ujinga wenu hapa! Hebu jaribuni kuchunguza kama kuna la maana mlilomwambia mwenzenu haapa, pamoja na kuwaambia kuwa alishatendwa miezi minane iliyopita na ukiangalia hapa anawaambia anaenda kukutana na njemba nyingine. Woooote kwa umoja wenu hakuna hata mmoja aliyemshauri la maana zaidi ya kumwambia avaeji sijui apendeze. Mimi nilitegemea mumshauri mambo ya msingi pengine ni vitu gani akienda kuonana na huyo mdunguaji anayeenda kuonana nae. Hii ingemsaidia mwnzenu ambaye mpaka sasa ameshasema sijui ana mshawasha wa kuonana naye jamaa maa leo ndo mara ya kwanza anatoka naye.

Yaani wengi wenu huwa hamuwazi nini vya kwenda ku speculate from a man when you meet the first day. Kwa taarifa yenu huyu mwenzenu ingawa leo ndiyo mara ya kwanza anatoka na jamaa msishangae kama leo hii hii anadunguliwa huyu maana hata nyie hamjamshauri la maana zaidi ya kumpandisha 'mori' mwenzenu namna anavyotakiwa avae, akisha fanya hivyo atakapoonana naye akisifiwa kapendeza basi kwisha habari yake, na kweli nawaambia huyu anaenda kutoa mzigo.

Mi hata sielewi, hivi woooooote nyie kubwa la kumwambia kweli ktk hili la dating yake, mmeona ni mavazi kweli? Hata kama hilo ndo alowauliza, ni kweli mmeshindwa hata kumshauri aka speculate mambo ya msingi, yaani mmeishia kumshauri mavazi pekeee, loh! Kweli wanawake wengi mwalimu wao ni mmoja.

Kwa wewe mdada ambaye umepagawa mpaka huji nini cha kuvaa, wenzio ndo wameshakushauri nini cha kuvaa ili uendane na umbo lako la Lulu......jamani kwa nini Mungu asingetuumba kimawazo tufanane maana hii gender nyingine inapata taabu sana kukabiliana na changamoto zilizo mbele yao.....mweeeeeeeee!

Na wewe bwana hebu elewa swali sio kuanza kutulaumu tu sisi..
Binti kauliza atoke vip hiyo siku
Hajatuuliza mambo mengine ya mahusiano...
Ni kama vile unaulizwa jina la Rais wa Marekani nani ? mtihani huo ....
wewe unaanza ooh bibi yake ni Mkenya,yeye ni Half cast ikaenda ikarudi wakati jibu ni moja tu...
 
Vaa kawaida tu siku ya kwanza..... Ila kila mnavyozoeana ndio unatia vikali zaidi. Asije akapenda kivazi chako na sio wewe...
 
Huyo tulikutana shule, wote tulikuwa tumevaa uniforms..........

aisee inawezekana maana ulichokiongea kinaendana na umri wako humu ndani. Hivi unategemea kupata daraja gani la mtihani wenu wa mwezi uliopita......i mean form four?
 
Na wewe bwana hebu elewa swali sio kuanza kutulaumu tu sisi..
Binti kauliza atoke vip hiyo siku
Hajatuuliza mambo mengine ya mahusiano...
Ni kama vile unaulizwa jina la Rais wa Marekani nani ? mtihani huo ....
wewe unaanza ooh bibi yake ni Mkenya,yeye ni Half cast ikaenda ikarudi wakati jibu ni moja tu...

Suala la muhimu ni kile anachokivaa na anayetaka akione umeona eeeeeeee! we umepaki akili yako kwenye mavazi tu, mhurumie na huko anakoenda kuonyesha hayo mavazi, yaani kinachomhangaisha kutafuta aonekane vp
 
sie twampamba mwali anataka leo akaliwe vitu,
tena weye waleta matani, mbaya eeh.
tehe tehe tehe tehe....sasa we unataka tuishie kumwandaa tu yeye...inafaa na sisi wazoefu tukaonesha uzoefu wetu kwa kufanya real practical. i mean we may need to put our advices into actions!!!!! naomba ulifikirie vizuri ombi langu na siyo kulitupia kapuni na kuniombea eti nishindwe halaf mbaya zaidi eti nilegee kabisa!!!!! pls be considerate!
 
Suala la muhimu ni kile anachokivaa na anayetaka akione umeona eeeeeeee! we umepaki akili yako kwenye mavazi tu, mhurumie na huko anakoenda kuonyesha hayo mavazi, yaani kinachomhangaisha kutafuta aonekane vp

ndyoko ushawahi kusikia kuna wataalam wa mavazi?? (wazi jibu ni ndiyo)
je wataalam wa kumshauri mtu kufanya ngono au kutofanya (kwamba wao wanajua huyu ukilala nae atakutoroka na huyu anafaa?)
huyu bibie kaomba ushauri wa mavazi naamini kuna wataalam wa mambo ya mavazi.
sasa mkubwa mzima kweli tutamshawishije eti asieje akakubali kufanya ngono siku hiyo!!!! kufanya au kutofanya viko kwenye maamuzi yake tu na hakuna mtaalam wa kubashiri matokeo ya kimojawapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom