Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Sasa ni dhahiri tumeingia kwenye Utawala wa kimabavu. Ukiongozwa na Magufuli na Ghost Voters wake
Usalama wa nchi ni suala la muhimu kuliko kitu chochote kile.... Watanzania tujifunze kutii mamlaka...tusijifanye wajuwaji mpaka kutaka kulala chumba cha wazazi eti kisa na sie watoto tumeshaota nywele zote kama wazazi wetu...
 
Bila kumuondoa Magufuli mambo ya YouTube na Twitter yatabaki kuwa ni historia tu.
 
Usalama wa nchi ni suala la muhimu kuliko kitu chochote kile.... Watanzania tujifunze kutii mamlaka...tusijifanye wajuwaji mpaka kutaka kulala chumba cha wazazi eti kisa na sie watoto tumeshaota nywele zote kama wazazi wetu...
Huo ujinga baki nao mwenyewe
 
Nina amini kwamba wahusika wamefanya hivyo ili kuzuia vurugu zinazo weza kuji tokeza kwasababu ya uchaguzi vile vile nahisi kwamba kungekuwa na njia za mbadala kutatua tatizo hilo. Serikali ya Dkt John Joseph Pombe Magufuli imepata tuhuma ya kuwa gandamizi na kuminya sana haki za kuji eleza. Serikali lazima ina nia njema kwa kila mtu lakini ni muhimu kwa wao kufahamu kwamba hili ni zoezi la ki demokrasia. Huu ndio muda pekee ambao wananchi wanapata nafasi ku onana na wana siasa. Kama inge tokea kwamba baadhi ya watu wana tumia mitandao ya jamii vibaya, serikali ingeweza kuwa zuia wao tu baada ya kupata vibali mahakamani. Watu wanaoweza kuleta maafa makubwa kwenye mitandao ya jamii ni wenye wafuasi wengi. Njia nyingine ni kuwa makini na vyombo vya habari. Sidhani kama hatua iliyo chukuliwa na serikali ni sahihi.
 

Wamefanya vizuri Sana. Mitandao haipigi kura .
 
Hawajaminya uhuru wa kujieleza wala wa kupiga kura hapo bali wameminya mtandao kuepusha uvunjifu wa amani
 
Wèngine hatuitumii mitandào hiyo
 
tena katika jambo la maana waliofanya ni kuzima mitandao ya kijamii maama kesho kila mtu angekua mtangaza matokeo.

hayo matusi yenu kawatukaneni baba zenu huko

Kigogo alitueleza mwezi uliopita kwamba watazima Internet akatoa maelekezo ya VPN.

Mimi nimeyafuata na tutakufurahisha.
 
Woote tuna jambo letu leo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…