Hasa kale ka Mr Silim kale ka Ally Kamwe.Halafu wanashindwa pia kuelewa filimbi ilipolia Saido akaenda kupiga ndipo wachezaji wengine waliondoka naye na Saido hakupiga moja kwa moja ,alitisha kidogo ndo akapiga.
unadhani we pekee ndio uliangalia ile mechi. Watu walikuwa kwa box hata kabla hajapiga. Na refa kasimama hapo.

Punguza uzuzu na umaandazi
 
Inauma sana, inatia kinyaa. TFF mnaua football ya Tanzania.
Mnakumbuka ya leo wakati mlipuuzia kilio cha Wananchi walichokitoa kwa msimu mzima wa mwaka jana kuhusu dulma walizokuwa wakitendewa na marefa na washika hatamu wa mpira nchini!!!
Leo tukio dogo tu ka kawaida lakini watu wameshupaliaaa na kutoa kamasi kana kwamba hawakuona jinsi kosa lilivyotendeka!
Refa hakufanya kosa lolote kutoa uamuzi ule...na watoa povu wanapata kisingizio kwa kuwa waliona picha za replay, fursa ambayo refa hakuipata, na hata kama VAR ingetumika asingetoa uamuzi tofauti!
 
Hivi zile penati za simba hamjaziona?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…