namungo

Namungo Football Club is a Tanzanian football club based in Lindi, Tanzania. The club currently plays in the Tanzanian Premier League, the highest league in the Tanzanian football league system.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Full Time: Ligi Kuu: Namungo 1-3 Simba. Majaliwa Stadium 19 Aprili 2026

    Namungo yuko nyumbani akimkaribisha Simba mechi ipo dakika ya 13 kwenye uwanja wa Majaliwa Stadium. Vikosi vya leo Gli kwanza la simba limewekwa ndani na Libesse Gueye 25' Simba wanapata bao la 2 mfungaji Oura 30' Namungo 0- Simba 2 33' Namungo wanapata bao la kwanza kwa mkwaju wa...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    A
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu, PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda...
  4. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Jacob Massawe asaini mkataba mpya Namungo FC

    Jacob Massawe 33, nahodha wa Namungo Fc ya Ruangwa , Lindi amesaini mkataba wa mwaka mmoja kusalia klabuni hapo. Mkongwe huyu amehudumu kwa muda sasa kwenye ligi kuu huku akiwa na kiwango kilekile. Nahodha huyu wa Namungo ananikumbusha nahodha wa zamani wa Kagera Sugar, George Kavila ambaye...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania UDSM Ruangwa Campus & Namungo FC vitadumu hata baada ya Majaliwa kustaafu?

    Kama ilivyokuwa Katavi University of Science and Technology (KUST) vile vile Ile campus ya Mchongo kule Ruangwa inaenda kuwa nyumba ya popo! Mzee wamemtema mapema asubuhi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Viongozi wa Pamba Jiji, Namungo, Singida au Mashujaa, GSM ataenda pia kama ilivyo kwa Yanga?

    Salaam Wakuu, Jana katika picha za Rais Samia na viongozi wa Yanga na Simba, Gharib alikuwepo kwa upande wa viongozi wa Yanga, sasa je, siku ikitokea Pamba, Singida, Mashujaa, Namungo na wenyewe wakiitwa huko Ikulu, GSM ataenda kama kiongozi wa hizo Timu? Kama hatoenda, inakuwaje watu...
  7. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya timu za Namungo & Singida Black Stars baada ya Uchaguzi Mkuu?

    Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa. Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Stadium | 13-05-2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Namungo FC 📆 13.05.2025 🏟 KMC Complex 🕖 10:15 Jioni Updates Lineups YANGA NAMUNGO Updates Dk 26 > Yanga wanapata goli la kwanza (Aziz ki) Dk 30 > Yanga wanapata goli la pili (Prince Dube) Dk 36 > inatolewa kadi ya njano (Bakari Mwamnyeto)...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Wananchi wa Ruangwa Msiache kuichangia Namungo FC inaosaidia kukuza uchumi wa Lindi

    Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wasichoke kuichangia timu ya soka ya Namungo, kwani uwepo wa timu hiyo unaleta utalii wa michezo unaosaidia kukuza uchumi katika wilaya hiyo na...
  10. Labani og

    JamiiForums Tanzania Je, wanaSimba mnasemaje Baada kufutwa kwa kadi nyekundu?

    Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480] Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefa
  11. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Kamati ya masaa 72 yaifuta kadi nyekundu ya Derick Mukombozi

    Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua... Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jana Mimba kapewa Namungo lakini cha Kushangaza na Kusikitisha wanaoumia nayo na Kuitamani ni Watu wengine wa Kigamboni

    Basi kama na nyie pia mnaitaka Mimba aliyopewa Namungo jana vuteni subira mtakuja kupewa / kujazwa 8/3/2025 Ok?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msipoteze muda kuwajibu wapuuzi, mechi ya Namungo VS Simba leo imemaliza kelele zote, toeni vichapo bila kumuangalia anayebweka!

    Yanga msiendelee kupoteza mda wenu kujibizana na wapuuzi kama wachambuzi ambao baadhi yao tunajua wako kwenye payroll ya Mhindi! Kilichotokea Leo pale Ruangwa Kila mtu kaona kwaiyo msicheke na nyani endeleeni kutoa vichapo kivyovyote ilimradi point 3 ziingie kapuni,, Tutaendelea kukusanya...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Juma Ayo: Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba apewe Derby ya Kariakoo, anajua kutafsiri vyema sheria za soka

    “Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo. Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio” Hayo ni maneno...
  15. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Simba Leo Tunashinda Mechi Yetu Dhidi ya Namungo

    Kila kitu vimewekwa sawa, waamuzi, makocha wa timu pinzani na baadhi ya wachezaji wa timu pinzani wameshawekwa sawa kazi yetu leo ni ushindi mnono huyo Utopolo atajuta. Kadi Nyekundu itatolewa kwa mchezaji/wachezaji wa timu pinzani iwapo wataonyesha hasira ama kufanya rafu inayohitaji kadi ya...
  16. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Jioni ya leo Namungo dhidi ya Simba ni mechi safi isiyo na makando makando huwezi tabiri mshindi kabla ya mechi

    Tukashuhudie mechi ya ligi kuu NBC kweli isiyo na mipango twendeni tukaone mechi kikosi vikipangwa bila maelekezo toka kwa wamiliki wa timu ....Hata simba akishinda huwa anapata point halali za jasho na damu wachezaji wana henyeka hii inawasaidia sana simba kwenye mashindano ya caf ,kufanya...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Ladack Chasambi kutolewa Namungo kwa mkopo

    Tetesi zinasema katika dirisha dogo, mchezaji Ladack Chasambi anatarajiwa kutua Namungo sc. Imeelezwa Namungo wameshatuma maombi ya kumnasa kinda huyo katika kujiimarisha na kuongeza nguvu kikosi hicho.
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Djuma Shabani amepewa mkono wa kwaheri na klabu yake ya Namungo Fc

    Djuma Shabani soka la bongo limeshamkataa! Maana tangu atoke Yanga SC amekuwa wa kuhangaika tu. Ameenda huko Namungo kacheza mechi chache sana tena si kwa hule uzoefu wake so naona time yake imekwisha akatafute ugali sehemu nyingine tena nje ya Tanzania. ===================== Beki wa zamani wa...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Yanga ni timu ya kuogopwa, Benard Morrison yupo Ken Gold, Djuma Shaban atupiwa virago Namungo FC

    Katoka AS vita katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba, wanemtupia virago, wanadai uwezo wake ndogo ,huyo ni Djuma Shaban, hana timu ya kucheza kwa sasa. Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mchezo wa Yanga dhidi ya Namungo

    Mechi ilikuwa nzuri Wachezaji wa Yanga wameonyesha ukomavu na uvumilivu hadi nafasi za kufunga zikapatikana Wachezaji wetu hawana fitness nzuri sana. Nadhani labda uchovu kushinda ubingwa mara 3 siochezo, hii inasabisha mechi kukosa kasi tuliyozoea Duke Abuya ni Mchezaji mzuri mno, ametimiza...
Back
Top Bottom