Jinsi alivokuwa anaongea nikawa nacheka Mana hata hajielewi anachoongea
"Wachezaji wangu wamecheza vibaya leo kwakuwa wanaogopa Kuumia kutokana na Uwanja kuwa mbovu" Cedric Kaze Kocha Msaidizi Yanga SC.

Taarifa: Sports Extra Clouds FM leo.

Mlio nae karibu huyu Kocha Msaidizi wa Yanga SC Cedric Kaze muulizeni Yanga SC yake ilipocheza Kandanda Safi ( la Pasi nyingi ) dhidi ya KMC FC katika Uwanja mbovu kuliko hata huu wa leo wa Majimaji Songea na Kushinda Wachezaji wake walikuwa hawahuogopi huwa Uwanja na badala yake wameugopa wa Ilulu walioponea Chuouchuou leo kwa Kutoa Sare ya Kubebwa na Mwamuzi ( Referee ) wa hovyo kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania?
 
Hamjawahi kubebwa? Waamuzi wetu wanashida huyu wa leo sio wa kwanza!
Kuna mchezaji anaweza kukudanganya refa ukakubali mfano Morison kwa sabsbu ya akili kubwa sasa Fei hata kudanganya hajui anakosa balance mpira unachukuliwa kisha sekunde kadhaa anaanguka ,tafsiri sahihi aliambiwa aanguke tu atapewa penalt
 
Na wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, kwaiyo leo hii ndo umesikitishwa na penalty waliyopewa yanga ?Tokea ligi imeanza umeiona penalty ya leo tu ndo aikuwa halali nyingine zote ambazo timu nyingine wanapewa uwa ni halali? Kama unao huo uchungu mbona uwa uko kimya unafurahia tu leo umeibuka kusikojulikana unajidai kusikitishwa na penalty ya yanga? Au ndo timu makolo fc umeumia kuona yanga uliyokuwa unategemea ifungwe imeshindikana, Acha mambo ya kipuuzi wewe kuchagua matukio
Kelele na matusi ya nini?
 
Jamaa yameumia sana. Yameshasahau mambo yao. Hahahahah wasubiri dec 11
 
Mnateseka na penalty ya jana wakati nyie penalty zenu kibao tu za magumanishi.Mkiambiwa tuungane kukemea hili mnasema KILA MTU ASHINDE ZAKE.Tulieni sasa 🤣🤣🤣
Tumetulia ndio maana point zimepungua mbili.
 
NUMBERS NEVER LIE
HESABU HAZIONGOPI

1.biashara vs Simba
Simba walipewa penati

2.Dodoma vs Simba ,
Dodoma red card

3.simba vs polisi ,
Simba walipewa penati na polisi red card

4. Simba vs coast , coastl red kadi mapema Sana

5. Simba vs Namungo
Namungo red card

6.Ruvu vs Simba,
Ruvu red card+Penalty

Hawa Simba wamebebwa mechi zote 6

HIYO HOJA NAYO SIJUI TUIJADILI AU TUACHANE NAYO!?
Sio kupewa zilikuwa ni Halali haswaa... Na hata mkatujeruhia wachezaji wetu kisa mihela ya tajiri...

Nawaambieni ubingwa mtausikia kwenye friji

Sasa tuseme hiyo ya jana ni HALALI au HARAMU? Fikiri kwanza sio unaongea utopolo
 
Acheni kelele na unafiki wenu. Hamkuona Feisal kaangushwa kwa kuchwzewa rafu.

Mmezoea kubebwa sasa mnadhani wofe wanabebwa. Nonsense
Wapumbavu Sana ,wengine hawajaangalia mpira wanaongea kwa kusikia hearsay,yule mchezaji wa Namungo alitumia nguvu nyingi,kapiga mpira na mguu.Kumbuka wachezaji wa Namungo walikuwa wawili na mpira alikuwa nao Fei.Nguvu ilikuwa excessive .
 
Kuna yale machambuzi pale azam yale ni makolo kabisa ndo yamewalisha watu matango pori.
 
Kuna yale machambuzi pale azam yale ni makolo kabisa ndo yamewalisha watu matango

Na wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, kwaiyo leo hii ndo umesikitishwa na penalty waliyopewa yanga ?Tokea ligi imeanza umeiona penalty ya leo tu ndo aikuwa halali nyingine zote ambazo timu nyingine wanapewa uwa ni halali? Kama unao huo uchungu mbona uwa uko kimya unafurahia tu leo umeibuka kusikojulikana unajidai kusikitishwa na penalty ya yanga? Au ndo timu makolo fc umeumia kuona yanga uliyokuwa unategemea ifungwe imeshindikana, Acha mambo ya kipuuzi wewe kuchagua matukio
Sasa usimind ndugu kipigo Tareh 11 kipo palepale hivyo Christmas mtakuwa mshatolewa
 
Na wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, kwaiyo leo hii ndo umesikitishwa na penalty waliyopewa yanga ?Tokea ligi imeanza umeiona penalty ya leo tu ndo aikuwa halali nyingine zote ambazo timu nyingine wanapewa uwa ni halali? Kama unao huo uchungu mbona uwa uko kimya unafurahia tu leo umeibuka kusikojulikana unajidai kusikitishwa na penalty ya yanga? Au ndo timu makolo fc umeumia kuona yanga uliyokuwa unategemea ifungwe imeshindikana, Acha mambo ya kipuuzi wewe kuchagua matukio
Huu ndio ushabiki mandazi sasa yaani watu wanajadili la maana yeye kama umbile XX anakazana kulinganisha na jambo ambalo asemi ni nani ni wapi na tukio gani ni mechi gani lkn anaona alichofanya refa katika mechi ya yanga na kwakuwa yanga baasi ni sawa.
Mpuuuuuuuzi kabisa.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom