Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na masoko


A man with no name

A man with no name

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Messages
697
Points
1,000
A man with no name

A man with no name

JF-Expert Member
Joined May 7, 2017
697 1,000
Wanajamzi kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu kwa wale ambao anafahamu aina hii ya kilimo kuanzia
Mbegu bora
Madawa
Soko
Na kwa hekari moja unaweza ukapata gunia ngapi kwa makadirio ya juu na ya chini pia
Naomba mnieleze mambo yote muhimu yakuzingatia wakati wakulima na ni msimu upi mzuri kulima na upatikanaji wa soko na bei ya soko kwa kg au gunia
Napia naomba kufahamishwa gharama za kuhudumia heka moja kuanzia hatua ya awali mpaka nitakapo vuna mazao shambani
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu asanteni na karibuni kwa mawazo yenu Wanajamvi
 
Agenda1

Agenda1

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Messages
897
Points
1,000
Agenda1

Agenda1

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2017
897 1,000
Ingependeza jukwaa la kilimo. wakulima wengi hupitia huko na wanayo majibu.
 
Agenda1

Agenda1

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Messages
897
Points
1,000
Agenda1

Agenda1

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2017
897 1,000
Jaribu kuwaita moderators watakufanyia hiyo kazi haraka..
 
A man with no name

A man with no name

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Messages
697
Points
1,000
A man with no name

A man with no name

JF-Expert Member
Joined May 7, 2017
697 1,000
Moderator naombeni msaada mnihamishe jukwaa mpeleke kwenye jukwaa la kilimo
 
Kitulo

Kitulo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
2,415
Points
2,000
Kitulo

Kitulo

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
2,415 2,000
Tafuta mada zipo humu zinazoelezea kilimo cha vitunguu tumia google
Humu JF hakuna zao ambalo halijajadiliwa labda bangi tu.
 
A man with no name

A man with no name

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Messages
697
Points
1,000
A man with no name

A man with no name

JF-Expert Member
Joined May 7, 2017
697 1,000
Wanajamvi kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada na maelezo ya kitaalamu ya namna ya kulima kitunguu kwa faida naomba kujuzwa juu ya
Mbegu bora ya kitunguu
Gharama za hekari moja kuanzia hatua ya mwanzo mpaka wakati wa kuvuna kwa hekari moja
Soko na bei ya gunia la kilo 100 pamoja na bei ya kg 1
Madawa na mbolea
Namambo mengine yote yanayohusiana na ulimaji wa kitunguu
Naombeni msaada wenu wa kifikra
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wanajamvi
 
fofre

fofre

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
618
Points
1,000
fofre

fofre

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
618 1,000
Kuna Mada yeke mkuu wamechambua vizuri sana pitia huko.
 
quadraqoraman

quadraqoraman

Senior Member
Joined
Aug 11, 2016
Messages
173
Points
225
quadraqoraman

quadraqoraman

Senior Member
Joined Aug 11, 2016
173 225
Vipo vitunguu vinauzwa Kwa wale wanunuzi
Tuwasiliane,,hasa kama kuna mtu ana connection na wanunuzi wa nje,,
Karibu PM
 
M

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Messages
279
Points
225
M

mymy

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2011
279 225
Habari waungwana. Naomba kufahamishwa, je vitunguu maji vinastawi maeneo ya Kimbiji-Kigamboni?
Ahsanteni
 
M

Msonji

New Member
Joined
Jul 2, 2018
Messages
1
Points
20
M

Msonji

New Member
Joined Jul 2, 2018
1 20
Malila unaweza kunipa mwanga kidogo kuhusu bei za hayo maeneo ya Ruaha na hayo mengine kama unafahamu. Nataka nikasurvey na angalau kabla sijaenda huko nijue bei ya kununua kwa eka au ya kukodi kwa eka.

Kilimo Kwanza!
Habari za humu wakuu,,mm ni mgeni haswa kitaka michakato ya kilimo hiki cha vitunguu ,,nlitaka kuanza Lima naweza pata muongozo kutoka kwenu wAdau,,nipo arusha ,nlitaka jua maeno sahihi ya kilimo hiki kwa arusha ,gharama na lini n miezi yake,,upatakanaji wa maeneo na being zake pia ,,,,msaada wakuu
 
O

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Messages
900
Points
500
Age
36
O

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2012
900 500
Wadau nimejaribu kufuatilia taarifa mbalimbali za kilimo cha zao tajwa hapo juu. Kwa sasa nahitaji kupata maarifa kadha wa kadha kuhusu kilimo cha zao hili. Maswali yanayogonga kichwani mwangu ni;

1. Kwa uptodate data, wapi naweza kupata mbegu kwa uraahisi
2. Mbegu kiasi gani (kilo ngapi, au gunia ngapi zinatosha kwa ekari moja
3. Mbegu hizo zinapatikana kwa bei gani kwa sasa.

Nimejaribu kufuatilia mtandaoni, lakini posts zingine ni za miaka ya nyuma ambayo inaweza isiwe realistic kwa sasa hivi 2018 TZ ya Magufuli

Karibuni wazoefu.
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
6,227
Points
2,000
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
6,227 2,000
Ungekuwa unataka kulima Tumbaku ningekusaidia
 

Forum statistics

Threads 1,293,770
Members 497,735
Posts 31,152,968
Top