Kilimo cha vitunguu

Kilimo cha vitunguu

Joined
Jul 8, 2019
Posts
21
Reaction score
30
Wataalamu wa kilimo cha vitunguu maji naomba uelewa juu ya kilimo hicho maana nimepitapita vijiji vya mkoani Tabora nikakutana na zao hili.

Naomba somo, soko na biashara yake ilivyo!
PXL_20260608_153910373.jpg

 
Mwaka huu Singida msimu wa kitunguu kili kubali sana soko likaporomoka vibaya sana

Sijui mikoa mingine

Zao la kitunguu cha msimu wa mvua bei inategemea na wingi au u hache wake sokoni
Msimu upi ni wa pesa nzuri sokoni mkuu,,kiasi kwamba mavuno yanakuwa machache..na demand huwa kubwa.
 
Msimu mzuri ni kiangazi yaani kitunguu cha kumwagilia.
Mvua za masika watu wengi sana wanalima kwa pamoja
Lakini niliwahi kusikia,wengi hawamudu kilimo cha kitunguu cha masika. Wanasema magonjwa ni mengi sana,pia mvua inaleta uharibifu wa mazao..ndo maana hata bei ya masika ya masika mara nyingi bidhaa ya kitunguu inakuwa juu tofauti na kiangazi,
 
Msimu mzuri ni kiangazi yaani kitunguu cha kumwagilia.
Mvua za masika watu wengi sana wanalima kwa pamoja
Sahihi, hata hiyo picha niliyopost hapo nimepiga mwezi wa sita.

Wanamwagilizia na maendeleo ni mazuri tu
 
Back
Top Bottom