Sasa mchukue huyo mgonjwa wa pumu akatibiwe huko tuone kama atapona!!Eti sayansi ni jibu la maswali yote duniani! Nani kakudanganya? Sayansi imeshindwa kutafuta dawa ya pumu halafu wewe unasema ina majibu yote

Bibie asikudanganye mtu hakuna watu ambao tunafikiri nje ya box kutuzidi sisi watu wa dini, yaani hili hakuna. Sababu sisi tunafikiria katika uhalisia na nyinyi mnafikiria kitoto.
Mfano kama upo makini na umepitia mambo ya Sayansi, au umewasoma wana Falsafa au wakana Mungu, ukitaka kujua mfano wa watu wajinga na wasio fikiria nje ya box kama mnavyosema ni watu hao.
Sasa sisi tumehimizwa juu ya kutumia aki na kufikiri vile vile.
Allah anasema :
190. Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi na kukhitalifiana usiku na mchana ziko Ishara kwa wenye akili.
191. Ambao humkumbuka Mwenyezi Mungu wakiwa wima na wakikaa kitako na wakilala, na hufikiri kuumbwa mbingu na ardhi, wakisema: Mola wetu Mlezi! Hukuviumba hivi bure. Subhanaka, Umetakasika! Basi tukinge na adhabu ya Moto. (al-Imraan : 190 - 191)
Hapana, zamani walikuwa wanawachoma na kuwatenga wakisema wamelaaniwa.Ila imetoa njia za kujikinga na kuepuka hayo magonjwa..kitu ambacho dini ingekwambia ufunge na kuomba.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Ahahh wanakuja kumtetea shetani aka mungu[emoji23]
Siamini upepo upo bali upepo upo. Una uhakika upi Mungu ndiye kafanya uumbaji?Umewah kuuona upepo.? Ila unaamini upo
Uwepo wa Mungu unaonekana kwa Mambo makubwa ambayo kayafanya mfano Uumbaji
Kwa imani yangu mimi Muislamu Mola hajaa wala hajazaliwa na Yesu (Issa) hakusulubiwa.Kumleta mwanae wapekee dunian apigwe misumari msalabani wakat uwezo wa kumuua shetan upo
Mola anajua kitakuwaje, mpaka kile ambacho hakipo anajua lau kikiwepo kitakuwaje. Lakini kujua kwake hakuku zuii wewe kufanya unayotaka.Nakuelewa sana na ndo maelezo ya theist weng ndo kwa tafsiri yako mungu anashangaa utakacho fanya kesho?? Au anakijua nipe maana ya mungu kukujua kabla na baada
Kweli akili ni nywele, kila mtu ana zake. We jamaa akili zako zimeshakupeleka jehanamu. Balazuri mkubwa we. Bangi zingine sijui mnazitoa wapi😠😠😠 mpaka unamtukana Mungu!!!Toka nipo shule ya msingi nilikuwa naenda madrasa sana nikawa najiuliza kama Mungu anajua kesho yetu ina maana hadi motoni na peponi basi katupangia watu wa dini ukiwauliza wanasema anajua ila hajakupangia sasa anachokuwa anajua nini huwa siwaelewi kabisaaa.
Kwa maono yangu Mungu ndio shetani mwenyewe maana kila kitu kakiumba yeye.
Wala sina haja ya kumfanya chochote na ili iweje ?Ndio keshaachana na huo uzuzu..huna kitu utamfanya.
#MaendeleoHayanaChama
Shukrani.[emoji706][emoji706][emoji706]
Ushawahi kuiona njaa ?Uliwahi kumuona allah? Au ni stori tu?
Una ujasiri wa hali ya juu sana dah!Toka nipo shule ya msingi nilikuwa naenda madrasa sana nikawa najiuliza kama Mungu anajua kesho yetu ina maana hadi motoni na peponi basi katupangia watu wa dini ukiwauliza wanasema anajua ila hajakupangia sasa anachokuwa anajua nini huwa siwaelewi kabisaaa.
Kwa maono yangu Mungu ndio shetani mwenyewe maana kila kitu kakiumba yeye.
Allah subhaanahu wataa'la- ndiye aliyetuumba sisi na tunayoyafanya.Ukisema freewill lazima ihusishe mabaya bila mabaya hakuna freewill
Kwamba una maanisha Mungu hausiki na mabaya bali mabaya yanatokana na uchaguzi wa watu kupitia freewill waliyopewa?
Kama watu hufanya kile ambacho Mungu kawaumba waweze kufanya kwanini waadhibiwe kwa hicho ambacho Mungu kawaumba waweze kufanya?
Kama Mungu aliweza kujua kuwa hiki kijusi kitazaliwa nakuwa mtoto, kitakuwa, na kuwa muuaji mkubwa na Mungu akaendelea kukiruhusu kiendelee kuishi tumboni na kuki support hadi katika hatua za kuzaliwa mpaka kikue kufikia utu uzima, kisha mtu huyo aanze utekelezaji wa hayo mauaji.
Sasa kwanini tena mtu huyo aadhibiwe kwa kile aambacho Mungu alimuumba aje akifanye?
Kama huo ulikuwa ni uchaguzi wa mtu kuua je hiyo haikuwa uchaguzi wa Mungu kuumba kiumbe chenye kuchagua kuua?
Ngoja nikupe mfano
Mimi ni mfanya biashara ninaye endesha maduka mawili katika eneo moja hapa mjini. Duka langu moja linajihusisha na uuzaji wa silaha na lingine linajihusisha na maswala ya kimichezo
Kwa bahati nikatembelewa na mtu wangu naye mjua anaitwa Calvin, Calvin akataka kununua silaha nzito ila akanieleza kuwa anachukizwa na hao mabinti waliopo kwenye duka langu la michezo na kwa hivyo basi anaenda kuwafundisha adabu
Calvin akaniomba nimuuzie package ya risasi kwa ajili ya silaha, nikamuuzia
Calvin akasema anaenda kuua watu wote waliopo katika eneo hilo, nikamuambia usifanye hivyo. Nikamuambia ni jambo baya sana hutakiwi kufanya
Calvin akaniambia nimfundishe namna ya ku shoot silaha, nikamfundisha
Nikamuonya tena kuwa hupaswi kwenda kutumia hii silaha ku shoot watu
Calvin akatoka na silaha na kwenda kuua kila mtu aliyekuwepo kwenye lile duka linalo jihusisha na michezo
Polisi walivyokuwa wakinihoji nikawasimulia stori nzima ilivyokuwa na nikiwaambia kuwa sio kosa langu ila ni Calvin alikuwa na freewill na nilimuonya asifanye hivyo.
Watu wengi wangeniwajibisha kwa ku-base tu kwenye yale yaliyokuwa sawa kufikiri kwamba Calvin angefanya kutokana na yale ambayo Calvin aliyosema kabla ya kuondoka kwenye duka langu.
Kama nawajibika kwenye sehemu ya mauaji, vipi kuhusiana na Mungu ambaye alimpa Calvin maisha akijua kwa hakika nini Calvin ataenda kufanya kwenye hayo maisha?
Mimi nilijua kidogo tu nini Calvin angeenda kufanya kupitia silaha niliyomuuzia. Lakini nimewajibika
Mungu alijua kwa hakika na anaweza kuzuia chochote. Au vinginevyo Mungu hakujua, au Mungu hana uwezo wote
Sijawahi kuiona. Unaweza kuthibitisha ya kuwa Jehanamu haupi na ni uongo ?Wewe unayefikiria kwa uhalisia, ushawahi kuiona jehanamu? Una uthibitisho mwingine zaidi ya hizo quotes za quran?
Uongo mtupu.Toka nipo shule ya msingi nilikuwa naenda madrasa sana nikawa najiuliza kama Mungu anajua kesho yetu ina maana hadi motoni na peponi basi katupangia watu wa dini ukiwauliza wanasema anajua ila hajakupangia sasa anachokuwa anajua nini huwa siwaelewi kabisaaa.
Kwa maono yangu Mungu ndio shetani mwenyewe maana kila kitu kakiumba yeye.
Huwenda maelezo yangu yasikukinaishe, ila nimejaribu kukufafanulia kwa uchache kadri nilivyo jaaliwa.Ukisema freewill lazima ihusishe mabaya bila mabaya hakuna freewill