Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 37,238
- 86,622
KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA.
Anaandika, Robert Heriel
Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi.
Mtibeli.
1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya.
2. Binadamu ni Binadamu hiyo ni kweli. Lakini haiondoi Classification yaani makundi ya binadamu kulingana na jamii zao.
3. Sifundishi ubaguzi. Nafundisha self awareness. Self Awareness ni Self defense yaani katika kanuni za mwanzo za kujilinda, Self Awareness ndio kanuni ya Kwanza. Kujitambua. Hata ujue mapigano kama Bruce lee au uwe na nguvu kama mpiganaji wa mieleka kama huna self awareness wewe utapigwa hata na watoto wadogo.
4. Taikonsmaster Siku zote ninajaribu kukutrain mindset yako, psychology yako, kwani hiyo ndio taa ya maisha yako.
5. Karma inaenda kwa watu wa jamii Moja au ndugu wamoja. Karma haina uwezo wa kuvuka mipaka na kuvunja mipaka ya matabaka na makundi.
6. Mhindi anapokudhulumu mshahara wako wewe MTU mweusi hapo kazini au kiwandani Kwanza elewa hafanyi Jambo baya kwake na miungu yake, na kwa nature. Kwanza Nature ndio inataka hivyo.
7. Mzungu anapovamia mataifa ya Waarabu kule mashariki ya kati. Akadhulumu, akaua, akatenda mabaya. Kamwe usitegemee Karma impate huyo Mzungu.
8. Ni makosa makubwa kwa mtu anayejitambua kufikiri kwa namna hiyo. Karma hainde hivyo.
9. Wazungu kutokana na uwepo wa wanafalsafa wengi na kufundishwa na wazee wao elimu ya kweli. Waliambiwa kwamba Hakuna hukumu wala adhabu ukimfanyia ubaya mtu wa jamii nyingine. Kiroho.
10. Wao watakufundisha ukupigwa umuachie Mungu. Au wenye dhambi wataadhibiwa na kupata malipo makubwa mabaya. Ili waendelee kuwapumbaza.
11. Ndugu zangu, hakunaga Karma wala malipo mabaya mtu asiyejamii yako atayapata akikufanyia ubaya.
12. Ndio Maana watu wote wenye utambuzi wa Kanuni kama hizo wao hutumia Kanuni za Tit for Tat, Jino kwa Jino. Kisasi ni haki na lazima wewe au watoto wako wakilipe.
13. Wayahudi walibahatika kupata wanafalsafa wenye akili mapema zaidi. Hawaamini katika Karma kutoka kwa jamiii zingine.
Wayahudi lazima walipe kisasi.
14. Hata Sisi Watibeli ndivyo tulivyo. Hatusahau. Na hatutategemea nguvu zingine isipokuwa zetu wenyewe.
15. Unapofanyiwa ubaya. Ni kosa na kutojitambua kumuachia Mungu. Hii ni nature. Mungu hatafanya chochote Abadan. Unajifariji.
16. Kama taratibu zingine za haki zimeshindikana. Mfumo uliopo umekuwa kinyume na wewe. Kifuatacho ni kuandaa kisasi chako, train hata watoto wako au wajukuu. Lakini kisasi lazima kilipwe.
17. Msamaha ni lugha ya kisiasa. Hasa siasa ya dini kupumbaza watu ili wazidi kuonewa. Msamaha ni tools ya kutawala walioonewa.
18. Sisi Watibeli msamaha ili utoke hauwi burebure lazima uwe na Malipizi, masharti. Lakini sio unitende vibaya, uniumize sio kwa maneno alafu uniletee msamaha kwa maneno tuu. Nope!
19. Mzungu hatakuja kulipia popote kwa alichomfanya muafrika. Wala muarabu hatakuja kulipa popote kwa alichomfanya muafrika.
Isipokuwa Siku ambayo muafrika atakapoamua ni muda wa kulipa madeni ya watesi wangu.
20. MTU anapokutendea ubaya anajua kabisa Hakuna wa kumfanya chochote isipokuwa wewe aliyekufanyia. Kama wewe huna uchungu wako mwenyewe Nani atakuonea uchungu? Mungu!😆 Kuwa serious kidogo.
21. Watu wanaotegemea Karma na kumtegemea Mungu awalipie kisasi mara nyingi huishia kuwa Watumwa wa miaka yote mpaka watakapobadilika.
22. No one will come to serve you. Hakuna wa kukulipia. Hakuna wa kuokoa maisha yako. Ni wewe mwenyewe.
Na kauli hiyo sio ya kukukatisha tamaa. Bali ni Ukweli wa kukuokoa na kukufanya ujitambue. Na uanze maisha yako upya.
23. Msamaha wa kweli ni Ule ambao unauwezo wa kumlipa mbaya wako na anajua kwamba unauwezo wa kumlipa na kumdhuru lakini wewe ukaamua kumsamehe. Huo ndio Msamaha.
Mimi sina la ziada.
Nawatakia Sabato Njema.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam