Kilichonifanya niache kuamini kwenye dini

Kilichonifanya niache kuamini kwenye dini

Hii mada jamani ni too controversial..majibu yanayotolewa humu ni ya kuokoteza tu..kwahili, we have been taught lies..anyway kuna kufaulu au kutofaulu kwa mwandishi..
 
Sio unijibu ninavyotaka Bali majibu unayotoa yanakinzana na swali. Mfano: tuna Amin Mungu anajua Kila kitu/mtu na hatima yake sasa tuhusishe maandiko na Hio dhana ya "kujua Kila kitu"
1: kama anajua Kila kitu means alijua shetani ata msaliti na kuwa adui yake, swali Kwan hakumuondoa ? Usiseme shetani alikuwa na nafasi ya kutubu utakuwa umepinga uwezo wa Mungu wa kujua Kila kitu Kwa kuonesha kuwa Mungu hakujua kuwa shetani hatokuja badiri msimamo wake.

2: Mungu Kama anajua Kila kitu inamaana alijua kuwa mwisho wa Adam na hawa bustanini utakuwa ni ukaidi wa maagizo yake Kwa kula tunda la mti waliodhuiliwa. Swali Kwann aliuweka huo mti ikiwa anajua kabisa kuwa mwisho wa siku viumbe wake wataenda kinyume na maagizo yake? Usjibu kuwa aliitaji utii au binadamu kuwa na utashi au chanzo ni udanganyifu wa shetani maana utakuwa umeondoa sifa ya "Mungu anajua Kila kitu " Kwa kuonesha kuwa Mungu hakutegemea kama ayo yote yatatokea AU anajaribu kutafta namna ya kujithibitishia mwenyewe kama ni kweli anajua Kila kitu.
Nimeupenda huu uwasilishwaji
 
Sasa ili nikujibu sasa swali lako au nithibitishe hilo, naomba ujibu maswali haya :

1. Unakubali kama Jehanamu au haipo ?

2. Ili kitu kiwepo ni lazima uwe umekiona kwa macho ,?
1. Hakuna
2. Ndio
 
Toka nipo shule ya msingi nilikuwa naenda madrasa sana nikawa najiuliza kama Mungu anajua kesho yetu ina maana hadi motoni na peponi basi katupangia watu wa dini ukiwauliza wanasema anajua ila hajakupangia sasa anachokuwa anajua nini huwa siwaelewi kabisaaa.

Kwa maono yangu Mungu ndio shetani mwenyewe maana kila kitu kakiumba yeye.
Mwana wa Mungu, nakupa hongera angalau kwa kuwaza juu ya Mungu, ni hatua nzuri ktk kumjua. Sasa kwa kujibu sehemu ya swali lako..kweli Mungu yupo, ni yeye alieumba mbingu na jehanum. Hata shetani pia kamuumba yeye..ingawa lengo la awali halikuwa awe shetani..neno la Mungu kupitia biblia..inasema alikuwa maika mkuu wa sifa. Kiburi kikambadili..akataka awe mungu ndio akafukuzwa..mbinguni na kutupwa kuzimu.
Sasa basi kuhusu je..yeye ndio kakuandalia mbingu na jehanamu? Hapana..yeye kakupa utashi(akili) na uhuru wa kuchagua..kwenda mbinguni au jehanum. Na kaweka vigezo vya kufuata. Ukitaka kwenda mbinguni..muamini Yesu na kufuata mafunzo yake...la kama unataka uhukumiwe kwenda jehanaum..usimwamini Yesu ..period.
Jaribu leo uone..
 
By the way, kusali ni kipaji. Kama ilivyo kusoma, siyo watu wote wana kipaji cha kusoma.

Lazima uwe na kipaji cha kupenda kusali ndiyo utaongea na Mungu.

Watu wenye haiba na tabia za kuwa wa kimya (introverts), ndiyo wana kipaji cha kusali, neema hiyo haipo kwa kila mtu tu.

Faida ya kusali haipo kwa Mungu, faida ya kusali ipo kwa anayesali, siyo kwa Mungu.

Mungu yeye hana uhitaji wa chochote.

Wewe ukiamua kuwa mtu wa kusali faida haiendi kwa Mungu bali unayefaidika ni wewe.

Faida gani unapata? Hawa wanaomkana Mungu hawaijuwi.
 
Toka nipo shule ya msingi nilikuwa naenda madrasa sana nikawa najiuliza kama Mungu anajua kesho yetu ina maana hadi motoni na peponi basi katupangia watu wa dini ukiwauliza wanasema anajua ila hajakupangia sasa anachokuwa anajua nini huwa siwaelewi kabisaaa.

Kwa maono yangu Mungu ndio shetani mwenyewe maana kila kitu kakiumba yeye.
Kiburi Cha uzima hiki! Aisee.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Atheists wao wana misimamo binafsi kila mmoja au ikoje?
Yes Kila atheists Wana misimamo binafsi.

Wengine wanapinga uwepo wa Dini wengine hawaamini Mungu yupo ila wanasema concept ya Dini Ina faida kuwepo (inafanya watu wasiwe wakaidi,wauaji,wezi Nk.)
 
Kwa maelezo yako,Umepitia madrasa...Ungekuwa wa sunday school ningepindua maneno/kauli/msemo wa Yesu mnazareti wa agano jipya,Yesu wa historia ni tofauti na Yesu wa biblia agano jipya -huyu kalishwa chumvi kibao,ulongo mwingi na waandishi wasiojulikana waitwao Marko,Mathayo,Luke na Yohane,:: Yohane 8:32"Na mtaifahamu kweli nayo hiyo kweli itawaweka huru" kweli itakuweka huru,kweli ni nini.?? Kweli ni religion is man made,GOD IS MAN MADE,Hapo mwanzo mwanadamu alimuumba Mungu/miungu kwa mfano wake!! Kwa kuwa madrassa pokea zawadi nzitto ,(maandishi/book) a) WHY IAM NOT A MUSLIM by ibn warraq: b) INFIDEL by ayaan hirs ali & A GOD WHO HATES WOMEN By walfa sultan: c) LEAVING ISLAM By ibn warraq: d)UNDERSTANDING MOHHAMAD by Alisina: thanks!
 
Umejuaje kama hakuna Jehanamu.

Njaa umeiona ? Akili umeiona ? Simanzi umeiona ? Maumivu ya kuachwa umeyaona ?
Maswali yako ya kitoto, endapo hujui mwili wako unafanyaje kazi basi bado hujajitambua.
 
Tumekuja dunian kuifanya iwe sehem rahis
Yas, inafaa kwa kuanzia......... endelea kuchimba fact zaidi.

Na ukiishi hii kauli itakusaidia maana ufunuo hupendelea zaidi watu wenye muelekeo huu. Roho wa Mungu akuongoze.
 
Maswali yako ya kitoto, endapo hujui mwili wako unafanyaje kazi basi bado hujajitambua.
Jibu maswali niliyo kuuliza. Haya maswali hayahitaji hilo unalosema.

Nakufundisha ya kuwa, hakikisha kila unachokidai una kijua, wengi nyinyi huea hamjui mnachokipinga.

Mimi nasubiri majibu ya maswali yangu.
 
Jibu maswali niliyo kuuliza. Haya maswali hayahitaji hilo unalosema.

Nakufundisha ya kuwa, hakikisha kila unachokidai una kijua, wengi nyinyi huea hamjui mnachokipinga.

Mimi nasubiri majibu ya maswali yangu.
Akili ukitaka kuiona nenda hospital wanapofanyia upasuaji utaona oblongata na vitu vingine, njaa ni hisia inayozalishwa na hormones kwenye mwili wako na kama ukiwekewa cameras ndani ya mwili unaweza ona, maumivu ya kuachwa/uzuni nayo ni reaction ambayo inatokea katika circuits kwenye ubongo wako, hii nayo waweza ona kwa eeg

Nshajibu maswali yako yote japo mpaka sasa bado hujajibu swali langu. Naomba unithibitishie jehanamu ipo ndio uendelee kuuliza maswali ambayo hata mwanangu anaweza kukujibu.
 
Back
Top Bottom