Kilichonifanya niache kuamini kwenye dini

Kilichonifanya niache kuamini kwenye dini

Basi ugua malaria uende ukaombewe huko kwenye madrasa zenu uone kama utapona.

Sayansi na pesa ndio Mungu wa dunia.

#MaendeleoHayanaChama
Sayansi mpaka leo haina dawa ya pumu, kifafa, BP, kisukari na magonjwa mengi ukisoma wanasema chanzo chake hakijulikani
 
Toka nipo shule ya msingi nilikuwa naenda madrasa sana nikawa najiuliza kama Mungu anajua kesho yetu ina maana hadi motoni na peponi basi katupangia watu wa dini ukiwauliza wanasema anajua ila hajakupangia sasa anachokuwa anajua nini huwa siwaelewi kabisaaa.

Kwa maono yangu Mungu ndio shetani mwenyewe maana kila kitu kakiumba yeye.
Screenshot_20220524-203210_Biblia.jpg
 
Ni kwenye dini pekee ambapo hatutakiwi ku-think outside the box
Bibie asikudanganye mtu hakuna watu ambao tunafikiri nje ya box kutuzidi sisi watu wa dini, yaani hili hakuna. Sababu sisi tunafikiria katika uhalisia na nyinyi mnafikiria kitoto.

Mfano kama upo makini na umepitia mambo ya Sayansi, au umewasoma wana Falsafa au wakana Mungu, ukitaka kujua mfano wa watu wajinga na wasio fikiria nje ya box kama mnavyosema ni watu hao.

Sasa sisi tumehimizwa juu ya kutumia aki na kufikiri vile vile.

Allah anasema :

190. Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi na kukhitalifiana usiku na mchana ziko Ishara kwa wenye akili.

191. Ambao humkumbuka Mwenyezi Mungu wakiwa wima na wakikaa kitako na wakilala, na hufikiri kuumbwa mbingu na ardhi, wakisema: Mola wetu Mlezi! Hukuviumba hivi bure. Subhanaka, Umetakasika! Basi tukinge na adhabu ya Moto. (al-Imraan : 190 - 191)
 
Uliwahi kumuona allah? Au ni stori tu?
 
Kuna watu wanasema Eti maisha magumu ndiyo maana hawamuoni Mungu

Wapumbavu kabisa
 
Na wewe ndiyo kiongozi wa hizi takataka hapa jf kwa miaka sasa
Kama kweli hizi ni takataka, hilo nalo linathibitisha Mungu mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote hayupo.

Mungu huyo angekuwepo, asingeumba ulimwengu unaoruhusu kuwepo kwa takataka ya aina yoyote ile.
 
Nimecheka kweli kweli

Wewe ndiyo kiongozi na mwanzilishi wa hizi takataka na unapotosha watu bila kujua lakini amini utapata malipo yako hapa hapa duniani kabla hujafa

Mungu hadhiakiwi, anakuangalia tu na kukulia timing tu siku 1 atakutokea na utakuja kukiri hapa hadharani
 
Mungu alipomuumba Adam alimweka kwenye bustani ailime na katikati akampitishia mto

Kama unataka Mungu ndiyo akuletee maisha mazuri wakati hata kulima tu hutaki pole sana
 
Hoja yangu mimi ni kwamba kwanini binadamu alihusishwa kwenye vita kati ya Mungu na shetani wakati shetani aliasi kabla ata ya binadamu kuumbwa, kama shetani angeangamizwa mara tu baada ya kuumbwa huu uzi ata usingeanzishwa
[emoji124]
 
Uliwahi kumuona allah? Au ni stori tu?
Biblia imeandika huwezi kumuona Mungu kwa macho yako ya kawaida na ukabaki hai

Huwezi kumuona Mungu kwa macho hayo ya nyama

Kuna namna ya KUMUONA Mungu ila siyo kwa jinsi hiyo unayofikiri wewe
 
Nimecheka kweli kweli

Wewe ndiyo kiongozi na mwanzilishi wa hizi takataka na unapotosha watu bila kujua lakini amini utapata malipo yako hapa hapa duniani kabla hujafa

Mungu hadhiakiwi, anakuangalia tu na kukulia timing tu siku 1 atakutokea na utakuja kukiri hapa hadharani
Hujathibitisha Mungu yupo.

Mimi sijaanzisha thread hii.

Nakubaliana na wewe, Mungu hadhihakiwi, kwa sababu hayupo.

Atadhihakiwa vipi wakati hayupo?
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Mimi sijaanzisha thread hii.

Nakubaliana na wewe, Mungu hadhihakiwi, kwa sababu hayupo.

Atadhihakiwa vipi wakati hayupo?
Nalala sasa, nitakujibu kesho Mungu akiniamsha salama
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Mimi sijaanzisha thread hii.

Nakubaliana na wewe, Mungu hadhihakiwi, kwa sababu hayupo.

Atadhihakiwa vipi wakati hayupo?
Je wewe unaweza kuthibitisha kwamba hayupo? Nalala sasa kesho nitakujibu
 
Watu wadini manpenda sana kupangia watu maisha kama vile mko huko peponi kumbe na ninyi mko manawinda malaya telegram.absurd

Kaa tulia bila waovu dini zitahubiri nini.

Dunia inahitaji kila aina ya mtu na tabia zake ili iende.

Mnataka watu wote wawe mazombi kama mlivyo.

#MaendeleoHayanaChama
Nan kakupangia ndo ulete Uzi umshawishi Nan Sasa hujapangiwa na upagani wako unataka kutuaminisha nn
 
Biblia imeandika huwezi kumuona Mungu kwa macho yako ya kawaida na ukabaki hai

Huwezi kumuona Mungu kwa macho hayo ya nyama

Kuna namna ya KUMUONA Mungu ila siyo kwa jinsi hiyo unayofikiri wewe
Ok
 
Sayansi mpaka leo haina dawa ya pumu, kifafa, BP, kisukari na magonjwa mengi ukisoma wanasema chanzo chake hakijulikani
Ila imetoa njia za kujikinga na kuepuka hayo magonjwa..kitu ambacho dini ingekwambia ufunge na kuomba.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mara nyingi huwa nasoma comments zako kule jukwaa la siasa na huwa nakuona ni mtu mwenye akili kumbe na wewe ni boga kabisa
Kimsingi dini imefeli pakubwa kujibu maswali mengi na kutatua matatizo mengi duniani..zaidi ya kupewa matumaini feki baada ya kufa.

Faida ya dini ni kuhamasiaha upendo na amani kwengine kote ni porojo tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom