Kilichonifanya niache kuamini kwenye dini

Ngoja nimsaidie mtoa mada kuweka swali vizuri. Kama yeye anaijua kesho yako anafahamu huyu ni wangu au motoni kwa nini aendelee kumtafuta.
Nishawahi kuuliza swali la namna hiyo kwenye mada moja humu

Ebu fikiria. Kama Mungu kamuumba binadamu afanye maovu akijua kabisa kuwa watu hao wataenda kuchagua kufanya maovu, huoni nafasi ya Mungu kuwajibika kwenye uovu huo?

Fikiria kuwa Mungu ni mjuzi wa yote, anayajua yote ya mbele kabla hayajatokea. Mungu katuambia mimi na mke wangu kuwa tutaenda kupitia mlango namba 6 tutazaa mtoto ambaye atakuja kuua watu milion 1

Mimi na wife tumesikia Mungu alichotuambia huku tukijua kuwa Mungu anajua ya mbele kabla hayajatokea, kisha tukapita kutumia mlango namba 6 na tukapata mtoto ambaye alivyokuwa mtu mzima akaja kuua watu milion 1

Je mimi na mke wangu tutawajibika kwa vifo vya hao watu kwa namna yeyote?

Kumbuka tuliweza kupita mlango namba 1 au mlango namba 2 au namba 7 lakini tukachagua mlango namba 6 baada ya kujua nini kitatokea kama tukipita mlango namba 6

Kama kwa namna yeyote tutakuwa responsible kwa vifo hivyo, je vipi kwa Mungu ambaye anajua zaidi halafu akachagua kuruhusu mimba ya huyo mtoto ikue katika hali ya kiusalama mpaka atakapozaliwa huyo mtoto na kuja kuwa muuaji wa watu milion 1
 
Ukisema freewill lazima ihusishe mabaya bila mabaya hakuna freewill

Kwamba una maanisha Mungu hausiki na mabaya bali mabaya yanatokana na uchaguzi wa watu kupitia freewill waliyopewa?

Kama watu hufanya kile ambacho Mungu kawaumba waweze kufanya kwanini waadhibiwe kwa hicho ambacho Mungu kawaumba waweze kufanya?

Kama Mungu aliweza kujua kuwa hiki kijusi kitazaliwa nakuwa mtoto, kitakuwa, na kuwa muuaji mkubwa na Mungu akaendelea kukiruhusu kiendelee kuishi tumboni na kuki support hadi katika hatua za kuzaliwa mpaka kikue kufikia utu uzima, kisha mtu huyo aanze utekelezaji wa hayo mauaji.

Sasa kwanini tena mtu huyo aadhibiwe kwa kile aambacho Mungu alimuumba aje akifanye?

Kama huo ulikuwa ni uchaguzi wa mtu kuua je hiyo haikuwa uchaguzi wa Mungu kuumba kiumbe chenye kuchagua kuua?

Ngoja nikupe mfano

Mimi ni mfanya biashara ninaye endesha maduka mawili katika eneo moja hapa mjini. Duka langu moja linajihusisha na uuzaji wa silaha na lingine linajihusisha na maswala ya kimichezo

Kwa bahati nikatembelewa na mtu wangu naye mjua anaitwa Calvin, Calvin akataka kununua silaha nzito ila akanieleza kuwa anachukizwa na hao mabinti waliopo kwenye duka langu la michezo na kwa hivyo basi anaenda kuwafundisha adabu

Calvin akaniomba nimuuzie package ya risasi kwa ajili ya silaha, nikamuuzia

Calvin akasema anaenda kuua watu wote waliopo katika eneo hilo, nikamuambia usifanye hivyo. Nikamuambia ni jambo baya sana hutakiwi kufanya

Calvin akaniambia nimfundishe namna ya ku shoot silaha, nikamfundisha

Nikamuonya tena kuwa hupaswi kwenda kutumia hii silaha ku shoot watu

Calvin akatoka na silaha na kwenda kuua kila mtu aliyekuwepo kwenye lile duka linalo jihusisha na michezo

Polisi walivyokuwa wakinihoji nikawasimulia stori nzima ilivyokuwa na nikiwaambia kuwa sio kosa langu ila ni Calvin alikuwa na freewill na nilimuonya asifanye hivyo.

Watu wengi wangeniwajibisha kwa ku-base tu kwenye yale yaliyokuwa sawa kufikiri kwamba Calvin angefanya kutokana na yale ambayo Calvin aliyosema kabla ya kuondoka kwenye duka langu.

Kama nawajibika kwenye sehemu ya mauaji, vipi kuhusiana na Mungu ambaye alimpa Calvin maisha akijua kwa hakika nini Calvin ataenda kufanya kwenye hayo maisha?

Mimi nilijua kidogo tu nini Calvin angeenda kufanya kupitia silaha niliyomuuzia. Lakini nimewajibika

Mungu alijua kwa hakika na anaweza kuzuia chochote. Au vinginevyo Mungu hakujua, au Mungu hana uwezo wote
 
Natafuta mfia dini mmoja nimpe hii comment asome.
Nitaleta mrejesho
 
Je wewe unaweza kuthibitisha kwamba hayupo? Nalala sasa kesho nitakujibu
Mungu angekuwapo, asingehitaji uthibitisho kwamba yupo, kila mtu angejua hilo na hakuna ambaye angebishia.
 
Freewill
Screenshot_20220524-215931.jpg
 
Nishawahi kuuliza swali la namna hiyo kwenye mada moja humu

Ebu fikiria. Kama Mungu kamuumba binadamu afanye maovu akijua kabisa kuwa watu hao wataenda kuchagua kufanya maovu, huoni nafasi ya Mungu kuwajibika kwenye uovu huo?

Fikiria kuwa Mungu ni mjuzi wa yote, anayajua yote ya mbele kabla hayajatokea. Mungu katuambia mimi na mke wangu kuwa tutaenda kupitia mlango namba 6 tutazaa mtoto ambaye atakuja kuua watu milion 1

Mimi na wife tumesikia Mungu alichotuambia huku tukijua kuwa Mungu anajua ya mbele kabla hayajatokea, kisha tukapita kutumia mlango namba 6 na tukapata mtoto ambaye alivyokuwa mtu mzima akaja kuua watu milion 1

Je mimi na mke wangu tutawajibika kwa vifo vya hao watu kwa namna yeyote?

Kumbuka tuliweza kupita mlango namba 1 au mlango namba 2 au namba 7 lakini tukachagua mlango namba 6 baada ya kujua nini kitatokea kama tukipita mlango namba 6

Kama kwa namna yeyote tutakuwa responsible kwa vifo hivyo, je vipi kwa Mungu ambaye anajua zaidi halafu akachagua kuruhusu mimba ya huyo mtoto ikue katika hali ya kiusalama mpaka atakapozaliwa huyo mtoto na kuja kuwa muuaji wa watu milion 1

Umemaliza, kwa nini asiache dunia iwe salama kwa watu wake anaowapenda kupita chochote
 
Ukisema freewill lazima ihusishe mabaya bila mabaya hakuna freewill

Kwamba una maanisha Mungu hausiki na mabaya bali mabaya yanatokana na uchaguzi wa watu kupitia freewill waliyopewa?

Kama watu hufanya kile ambacho Mungu kawaumba waweze kufanya kwanini waadhibiwe kwa hicho ambacho Mungu kawaumba waweze kufanya?

Kama Mungu aliweza kujua kuwa hiki kijusi kitazaliwa nakuwa mtoto, kitakuwa, na kuwa muuaji mkubwa na Mungu akaendelea kukiruhusu kiendelee kuishi tumboni na kuki support hadi katika hatua za kuzaliwa mpaka kikue kufikia utu uzima, kisha mtu huyo aanze utekelezaji wa hayo mauaji.

Sasa kwanini tena mtu huyo aadhibiwe kwa kile aambacho Mungu alimuumba aje akifanye?

Kama huo ulikuwa ni uchaguzi wa mtu kuua je hiyo haikuwa uchaguzi wa Mungu kuumba kiumbe chenye kuchagua kuua?

Ngoja nikupe mfano

Mimi ni mfanya biashara ninaye endesha maduka mawili katika eneo moja hapa mjini. Duka langu moja linajihusisha na uuzaji wa silaha na lingine linajihusisha na maswala ya kimichezo

Kwa bahati nikatembelewa na mtu wangu naye mjua anaitwa Calvin, Calvin akataka kununua silaha nzito ila akanieleza kuwa anachukizwa na hao mabinti waliopo kwenye duka langu la michezo na kwa hivyo basi anaenda kuwafundisha adabu

Calvin akaniomba nimuuzie package ya risasi kwa ajili ya silaha, nikamuuzia

Calvin akasema anaenda kuua watu wote waliopo katika eneo hilo, nikamuambia usifanye hivyo. Nikamuambia ni jambo baya sana hutakiwi kufanya

Calvin akaniambia nimfundishe namna ya ku shoot silaha, nikamfundisha

Nikamuonya tena kuwa hupaswi kwenda kutumia hii silaha ku shoot watu

Calvin akatoka na silaha na kwenda kuua kila mtu aliyekuwepo kwenye lile duka linalo jihusisha na michezo

Polisi walivyokuwa wakinihoji nikawasimulia stori nzima ilivyokuwa na nikiwaambia kuwa sio kosa langu ila ni Calvin alikuwa na freewill na nilimuonya asifanye hivyo.

Watu wengi wangeniwajibisha kwa ku-base tu kwenye yale yaliyokuwa sawa kufikiri kwamba Calvin angefanya kutokana na yale ambayo Calvin aliyosema kabla ya kuondoka kwenye duka langu.

Kama nawajibika kwenye sehemu ya mauaji, vipi kuhusiana na Mungu ambaye alimpa Calvin maisha akijua kwa hakika nini Calvin ataenda kufanya kwenye hayo maisha?

Mimi nilijua kidogo tu nini Calvin angeenda kufanya kupitia silaha niliyomuuzia. Lakini nimewajibika

Mungu alijua kwa hakika na anaweza kuzuia chochote. Au vinginevyo Mungu hakujua, au Mungu hana uwezo wote

Maswali magumu huwezi pata majibu utasikia mistari ya kukemea tuu
 
Ifike mahali hizi post za kumkashifu Mungu zisiwe zinaruhusiwa hapa, au zitengewe jukwaa maalumu na ukitaka kujadili uwe verified user kwanza maana kila kichaa anakuja na upuuzi wake

Viongozi wa dini ni vema waonane na wamiliki wa jf na walikalipie hili jambo

Uhuru umepita kiwango sasa

Ndiyo maana Magufuli alikuwa anaichukia hii mitandao ya kijamii sababu ya upumbavu kama huu
Mleta mada kaleta swali, wewe unaanza kubweka kama chizi!! Kamfufue huyo mtu wako labda atatoa majibu kama kuna jehanamu. Hivi dini ndio imekubariki na hiyo reasoning capacity?
 
Back
Top Bottom