Kilichonifanya niache kuamini kwenye dini

Kilichonifanya niache kuamini kwenye dini

Mungu hayupo, shetani hayupo.

Habari za kuwepo kwa Mungu na shetani ni hadithi walizotunga watu tu.

Ndiyo maana swali lako halina jibu lililo logically consistent.
niliwahi kumuuliza muinjilisti Mungu katokea wapi akasema nakufuru
 
Unajua pia kua Mungu anaijua siku yako ya kufa,sasa mbona hujawaza kua hata ukiliona gari linakuja mbele yako usilikwepe coz Mungu anajua utakufa lini? mbona ukiumwa unaenda Hospitali ili upone usife,kwanini usiwaze sitaki kutibiwa coz Mungu anajua nitakufa lini?

Ndo hajui
 
Maji ya bahari hayawezi kujaa kwenye kikombe cha kahawa vile vile upeo wa mwanadamu ni finyu kuelewa hikma na matendo ya Mwenyezi Mungu kea usahihi wake kama haukubahatika kuelewa kitu ulizaa, tafuta elimu ya jambo hilo au baki upande salama kwa kutii.
brainwashed
 
Toka nipo shule ya msingi nilikuwa naenda madrasa sana nikawa najiuliza kama Mungu anajua kesho yetu ina maana hadi motoni na peponi basi katupangia watu wa dini ukiwauliza wanasema anajua ila hajakupangia sasa anachokuwa anajua nini huwa siwaelewi kabisaaa.

Kwa maono yangu Mungu ndio shetani mwenyewe maana kila kitu kakiumba yeye.
Umeuliza swali rahisi sana. Jibu lake ni hili swali wewe unajua ni wa motoni au peponi ? Kama hujui na umepewa akili na afya njema, kwanini usitende wema ukaenda peponi ?

Maana halali iko wazi na haramu iko wazi. Kujua kwake Allah kila kitu hakukuzuii wewe kutenda unachotaka. Ndiyo maana ule uhuru alio kupa ukatafakari kwa mtindo huu.

Ngoja nikupe mfano mdogo, leo hii kwa sisi tulio jaaliwa watoto, mathalani kwa kumjua mwanao kinaga ubaga, ukimpa hela tu kiasi fulani unajua kabisa huyu lazima ataenda kununua kitu fulani, mfano labda pipi, na kweli baada ya dakika kadhaa anarudi na pipi. Ila kwa Mola kujua kwake ni kwa hakika kabisa kwa asilimia mia tofauti na sisi.

Kunakufikiri na kuna kufikiri kwa usahihi. Hili nalo linataka elimu.
 
Huyu hakumtegenea Mungu ,soma vzr mada yake!
Aliitegemea dini!
Dini na Mungu ni vitu tofauti!
Kweli kabisa 👍 Mungu na dini Ni vitu viwili tofauti vinavyolazimishwa na watu kuwa kitu kimoja sawa
Kama mungu alikua hana source je dunia haiwezi kuwepo bila mkono wa mtu?)
Dunia ipo na itaendelea kuwepo mpaka pale itakapofika muda wake wa kufa nayo itakufa Ila watu watakufa na kuiacha dunia kwa sababu watu sio viumbe vya kwanza kuwapo katika uso wa dunia ni hivyo tu navyojua
 
Hivi kwanini huwa mnautumia Uislamu kuwasilisha Uongo wenu ?

Yaani usome madrasa halafu useme "Mungu ndiyo shetani" hata kama mlikuwa mnapiga dufu tu hamsomi dini, hili halipo kwa mtu aliye soma madrasa, atafanya ujinga wote ila hatosema kama ulivyo andika wewe.

Jiwekeni mahali penu, msijipenyeze sehemu ambazo siyo zenu, matokeo yake ndiyo haya.

Wewe nakuona wa pili. Wewe siyo Muislamu. Aya yako ya mwisho inathibitisha hilo.

Kuna mja mwema mmoja alipata kusema hivi "Hata uongo ungekuwa ni jambo la halali, yeye asingelifanya kwa lengo la kujitakasa"

UONGO MBAYA SANA.

Ahhhh mungu ndo muumba wa vyote kama quran inavo sema vya mbengo na ardhi lkn hapo hapo utasema dhamb znaletwa na shetan uwezo huo wa kufanya hayo kapewa na nani soma ishu ya dajjal au wale juja wote wanatumwa na mungu kuja kuumiza binadam huon kama mungu ndo mbaya zaid na shetani mkuu ibilis
 
mi nina swali Je huyo mungu alitoka wapi? nahitaji jibu lenye logic

Ahahh utaambiwa hakuzaa wala hakuzaliwa wala hafanani na kitu chochote hapo hapo mungu inaonesha anahasira anaupendo anafurahi sio binadam huyo
 
Unajua pia kua Mungu anaijua siku yako ya kufa,sasa mbona hujawaza kua hata ukiliona gari linakuja mbele yako usilikwepe coz Mungu anajua utakufa lini? mbona ukiumwa unaenda Hospitali ili upone usife,kwanini usiwaze sitaki kutibiwa coz Mungu anajua nitakufa lini?
Hongera, una akili sana
 
Shetan ameshajipatia mfuasi wakwenda nae jehanum

Mlango wa rehema hufungwa mtu anapokufa au hapa duniani anapoenda mbali sana na MUNGU na hawez kurudi,

Nakuombea usiwe kwenye makund hayo mawili,

Neema ya Bwana ikuzukie , umrudie kwa moyo wote

Rehema ya MUNGU Kama iliyomzukia Suleiman ikirudie na ww, umkumbuke Muumba wako kabla hujalala mauti
Huko jehanamu au peponi nani alienda na akarudi kuja kutupasha habari zao kama sio soga tu za vizee vya zamani.

Dunia ya sasa kuamini kwenye huo upuuzi ni kukosa akili.

Sayansi ndio jibu la maswali yote duniani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Umeuliza swali rahisi sana. Jibu lake ni hili swali wewe unajua ni wa motoni au peponi ? Kama hujui na umepewa akili na afya njema, kwanini usitende wema ukaenda peponi ?

Maana halali iko wazi na haramu iko wazi. Kujua kwake Allah kila kitu hakukuzuii wewe kutenda unachotaka. Ndiyo maana ule uhuru alio kupa ukatafakari kwa mtindo huu.

Ngoja nikupe mfano mdogo, leo hii kwa sisi tulio jaaliwa watoto, mathalani kwa kumjua mwanao kinaga ubaga, ukimpa hela tu kiasi fulani unajua kabisa huyu lazima ataenda kununua kitu fulani, mfano labda pipi, na kweli baada ya dakika kadhaa anarudi na pipi. Ila kwa Mola kujua kwake ni kwa hakika kabisa kwa asilimia mia tofauti na sisi.

Kunakufikiri na kuna kufikiri kwa usahihi. Hili nalo linataka elimu.

Nakuelewa sana na ndo maelezo ya theist weng ndo kwa tafsiri yako mungu anashangaa utakacho fanya kesho?? Au anakijua nipe maana ya mungu kukujua kabla na baada
 
Huko jehanamu au peponi nani alienda na akarudi kuja kutupasha habari zao kama sio soga tu za vizee vya zamani.

Dunia ya sasa kuamini kwenye huo upuuzi ni kukosa akili.

Sayansi ndio jibu la maswali yote duniani.

#MaendeleoHayanaChama

Stop religions
 
Back
Top Bottom