Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

Taarifa za kiintelenjesia zinaonyesha Chadema wanahusika moja kwa moja na haya mauaji - Steven Wasira
 
nijuzi tu polisi wa hapo mwanza walimpiga risasi tano afisa uhamiaji wakidhania kwamba alikuwa jambazi. Je si kwamba hao hao polisi ndio wamempiga risasi kamanda barrow wakizania kuwa ni jambazi. Manake inasemekana kamanda alikuwa kavaa kiraia na hakuwa na mlinzi/walinzi wake.
pia ikumbukwe kuwa Afisa uhamiaji huyo ana kesi Mahakamani na mke wake ambaye anauhusiano wa karibu sana na Barrow; na Afisa uhamiaji aliwahi kusema kuna jambo limejificha katika kuvamiwa kwake.
Je, sio Afisa uhamiaji amelipa kisasi? au sio wabaya wake wengine wame take advantage?
 
Kuna pia mtu aliuliza je Kuna uhusiano wowote na tukio la Askari waliotaka kumuua Afisa uhamiaji? Ikumbukwe kuwa huyo Afisa uhamiaji alisema kuwa askari aliyetaka kumuua anatembea na mke wake. Je kuna uwezekano wa uhusiano na mambo hiyo? Kuna kinachojaribiwa kufichwa na aliyetaka kumuua Afisa uhamiaji?
g
Pwenti.,..pwenti...pwenti!!!
 
Wanamtandao,

Nimesoma thread ya mauaji ya RPC wa Mwanza, nikaamua kucopy maswali yote ya members kama yalivyo na kuyaleta hapa kama thread.

Naamini maswali haya ya wanajamvi yatasaidia kupata hadidu za rejea za watakaochunguza tukio hilo.

Ieleweke kuwa Memberz wa hapa ndani pia ni Polisi jamii.

(Naomba Mod usiunganishe na thread kuu)

1. Kwanini RPC asimwagize dereva kumpeleka dadake?
2. Kwanini asiende na walinzi wake?
3. Kama alikuwa na walinzi, Je walijeruhiwa au kufa? Walinzi walizidiwa?
4. Ukomo wa kazi wa walinzi wake ni saa ngapi?
5. Je kwenye gari walikuwa wawili tu?
6. Dada mtu ameumizwa?
7. Jina la huyo dadake ni nani?
8. Intelijensia haikunusa mauaji kabla?
9. Kwanini auwawe?
10. Kwanini isidhaniwe ni vinyongo ndani ya Jeshi la Polisi?
11. Polisi wamejuaje wauaji ni majambazi? Nani ana uhakika kauwawa na majambazi?
12. Walikuwa wanagombea demu?
13. Sijui ni wale waliompiga Hyness Kiwia!?
14. Kikao cha harusi hadi saa 8 usiku?
15. Majambazi gani wanaothubutu kumvamia RPC, na je walitaka kumwibia?
16. Wamempora nini baada ya mauaji?
17. Alikuwa na gari binafsi au ya serikali?
18. Alivaa uniform au kiraia?
19. Hakuna visasi nyuma?
20. Nani ana uhakika kauwawa na majambazi?
21. Kikao kilikuwa bar au nyumbani kwa mtu?
22. Kama aliwamulika majambazi, je ni yeye tu aliyepita hiyo njia?
23. Dada mtu alichukua hatua gani baada ya tukio?
24. Aliwaona wahusika?
25. Risasi alipigwa eneo gani la mwili?

Mkuu majibu ya haya maswali nadhani ni haya hapa chini:
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.

Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========

-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao -La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii wakiwa kwenye doria"
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.

MY Take:

-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.

 
Kifo hakina taarifa ila wadau hebu tujiulize hizi coment zetu za kishabiki hasa kisiasa zinamjenga nani ama kumbomoa nani? leo unacoment kufirahishwa na kifo cha RPC Barlow then the next day unacoment kuhusu chama fulan kua ni bora kuliko kingine je? unataka ionekane ni upande flan wamehusika? usikurupuke bila kujua unamuumiza nani, kama unataka ku cment unavyotaka anzisha jamvi lako sio kuwaharibia wengine.
 
Aliyempigia cmu IGP ni mtu muhimu, lakini alirespond vp, hiyo ni wazi ni kwa mshituko mkubwa.

'Dadake' alimpigia driver-cum-bodyguard ambaye naye baada ya kuona hali yenyewe kuwa rpc moyo umeacha mwili almpigia IGP
 
kumbe siku hizi ni ruksa kupiga maisha na dadaako,ngoja nikamsomeshe sister nione kama atakubali.
 
Je baada ya kuuawa vitu gani vilichukuliwa ?
Kamanda hakuwa na silaha ndogo ?
Je nay ilichukuliwa ?
Kuna thread ya Baija Bolobi ya confession kule, lakini nayo bado inazidi kuleta maswali. Haijajibu swali lolote kati ya hayo maswali ya post hii.
 
Last edited by a moderator:
Je kuuwawa bahati mbaya ni kwa raia tu? Je kitu kizito chenye ncha kali kilitokea upande gani? Je chago -njaa ameenda kuchunguza? Je RPC hakupigwa tokea alikotoka halafu akawakimbilia polisi jamii wamsaidie kwa sababu hata mwangosi tulidanganywa na chago-njaa kwamba alipigwa tokea kwenye mkutano akakimbilia kwa polisi kuomba msaada,mwisho kapumzike unapostahili kamanda,JEHANAM au PEPONI.
 
Aisee,this is a very awkward situation, and i strongly believe there's something extreme big hidden behind all this.
 
Wanamtandao,

Nimesoma thread ya mauaji ya RPC wa Mwanza, nikaamua kucopy maswali yote ya members kama yalivyo na kuyaleta hapa kama thread.

Naamini maswali haya ya wanajamvi yatasaidia kupata hadidu za rejea za watakaochunguza tukio hilo.

Ieleweke kuwa Memberz wa hapa ndani pia ni Polisi jamii.

(Naomba Mod usiunganishe na thread kuu)

1. Kwanini RPC asimwagize dereva kumpeleka dadake?
2. Kwanini asiende na walinzi wake?
3. Kama alikuwa na walinzi, Je walijeruhiwa au kufa? Walinzi walizidiwa?
4. Ukomo wa kazi wa walinzi wake ni saa ngapi?
5. Je kwenye gari walikuwa wawili tu?
6. Dada mtu ameumizwa?
7. Jina la huyo dadake ni nani?
8. Intelijensia haikunusa mauaji kabla?
9. Kwanini auwawe?
10. Kwanini isidhaniwe ni vinyongo ndani ya Jeshi la Polisi?
11. Polisi wamejuaje wauaji ni majambazi? Nani ana uhakika kauwawa na majambazi?
12. Walikuwa wanagombea demu?
13. Sijui ni wale waliompiga Hyness Kiwia!?
14. Kikao cha harusi hadi saa 8 usiku?
15. Majambazi gani wanaothubutu kumvamia RPC, na je walitaka kumwibia?
16. Wamempora nini baada ya mauaji?
17. Alikuwa na gari binafsi au ya serikali?
18. Alivaa uniform au kiraia?
19. Hakuna visasi nyuma?
20. Nani ana uhakika kauwawa na majambazi?
21. Kikao kilikuwa bar au nyumbani kwa mtu?
22. Kama aliwamulika majambazi, je ni yeye tu aliyepita hiyo njia?
23. Dada mtu alichukua hatua gani baada ya tukio?
24. Aliwaona wahusika?
25. Risasi alipigwa eneo gani la mwili?

Ni Maswali mazuri na yanahitaji yapewe majibu.

Ila kwa mawazo yangu, jibu ya haya yanayotokea kwa Polisi wa Tanzania ni moja tu, nalo ni hili:

Polisi ya Tanzania imepoteza credibility ya kuwa chombo cha Usalama, Kwa mantiki hiyo, tusubiri mengi zaidi. Machache tu yanayopelekea Polisi kupoteza credibility ni haya kama mfano:

1. Polisi na Mahakama zimetengeneza mtandao wa kutengeneza pesa chafu kwa kutumia matatizo ya raia.....sasa unategemea nini?

2. Polisi wanashiriki ktk kusaidia watu kutengeneza deals zao za uhalifu, just because wanakatiwa kitu kidogo,

3. Polisi imekuwa ni kazi ya deals siku hizi watu kujipatia pesa za haraka haraka na wala si za kuzitolea jasho,

Kuna mtandano ndani ya jeshi la polisi ambao upo kwa manufaa ya watu fulani au kikundi fulani,

4. Ukiwa na pesa, polisi watakuwa rafiki zako, kama huna jihesabie maumivu,


Na mengine mengi...sasa kwa mfano ya hayo tu, tuna jeshi la polisi lenye credibility kweli?
 
je inaweza kuwa kwamba aliyekuwa naye ni cd ambaye rpc alimtumia mara kadhaa bila kupewa ujira wake hivyo akaamua kumdanganya kwa kumuomba amsindikize na kisha kumdanganya kimapenzi kabla ya kuipokonya pistol ya rpc kisha kujaribu kumtisha ili alipe ujira, na kujikuta amefyatua risasi kimakosa bila kusudio la kumuua.
Au je inaweza kuwa walizozana kwa wivu wa mapenzi na rpc kuamua kujiua ili asiteseke kwa ajili ya kuwepo mshindani?
Makene ulikaribia kwenye ukweli, changudoa alifanikiwa kuitia mkononi mwake bastola ya Libe, changu alidhamiria kudai chake kwa staili ya kujitoa aibu, alimuonyeshea pisto na maneno ya matisho ya kuitumia kama angekaidi kulipa kwa haraka.
risasi iliingia kwenye usalama, wakati cd linadai ujira wake (ujira mkubwa kuliko mapatano) RPC alionyesha dharau ya hali ya juu, riarapiisi rikachukuwa redio koll kuwaita vijana wake, wakati cd anaonyesha msisitizo kuwa hatanii bali anahitaji malipo tena na "kwa line yake ya tigo kutumika" alikuwa akigongagonga kwa mtutu wa bastola kwenye kioo cha dirisha la gari alilokuwemo rpc, na trigger ili-move backward, ikairuhusu risasi kutoka na muda huo mtutu ulilenga shingoni na risasi haikuwa na jinsi ila kutekeleza amri. Ova!
 
Last edited by a moderator:
Kifo hakina taarifa ila wadau hebu tujiulize hizi coment zetu za kishabiki hasa kisiasa zinamjenga nani ama kumbomoa nani? leo unacoment kufirahishwa na kifo cha RPC Barlow then the next day unacoment kuhusu chama fulan kua ni bora kuliko kingine je? unataka ionekane ni upande flan wamehusika? usikurupuke bila kujua unamuumiza nani, kama unataka ku cment unavyotaka anzisha jamvi lako sio kuwaharibia wengine.
Mwenyewe na uchungu na vurugu za jana mweh waislam hawa wanataka serikali sikivu isitawale vizuri nchi
 
kama RPC anaweza kuuawa na majambazi nani atakuwa salama katika mkoa wake? Huyo dada yake alikuwa anahudhuria kikao cha harusi ya nani( atutajie jina) na kilikuwa kinafanyika baa gani? na akina nani waliohudhuria kikao hicho?
Kwa kumbukumbu zangu, askari mwenye rank ya juu kuuawa na Majambazi alikuwa kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Longido, enzi za Mwinyi na Wasmali.
Hii hali ya kuuawa RPCni nzito sana.
Ingekuwa ni kwenye counter-attack na majambazi kweli ingesomeka.
 
Back
Top Bottom