Swali lingine
PakaJimmy kwa hali ya kawaida watu wakifanya mauwaji makubwa kama hayo, hawawezi kukuacha wewe ambae unawaona wakuache hai eti waishie kuku-search na kuondoka na baadhi ya vitu vyako, sasa kwanini huyu Dada nae hakudhuriwa? Je anaweza kuwakumbuka hawa watu kwa sura? Je baada ya tukio walikimbilia upande gani kwa usafiri gani au kwa miguu? Huyu Dada etu nae alichukua hatua gani baada ya tukio? Na hatua hio aliyochukua ilikua baada ya muda gani baada ya tukio? Je wakati wa tukio la kufyatua risasi yeye alijibana upande upi asipatwe hata na risasi moja??????? au kama walipiga risasi kwene vioo, je hakuna hata kioo kimoja kilichomkata huyu Dada???? Narudi tena