aliuwawa akiwa wapi?
huyo anaesemekana ni dadaake, ni dada yake au "dadaake"
hata ukipata majibu haisaidii, yote ni mipango ya Mungu.
wana kaz kweli kujitetea na dunia hii ya utandaazi hata ukificha jambo huwezi ficha lote,hata ukifanikiwa kuficha it will be the matter of time ukweli utakuwa wazi.
Kazi ipo, atakuwa alipigwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi iliyorushwa kutoka upande usiojulikana
kidogokidogo tutajua muuaji alidhamiria nini.hujaandika la kwangu mpwa; sheria inasema bar zinafungwa saa tano usiku, kwa working days, jana ni ijumaa ni siku ya kazi, bar ilifungwa saa ngapi?
Swali la msingi sana. Dadake atusaidie hapa.
.kama sio saa tano, yeye kama kamanda alichukua hatua gani?
Mkuu, labda ukiwa kwenye jumba la starehe majukumu yanapungua.
Au na yeye aliivunja sheria ile ile anayotakiwa kuilinda?
Hapana mkuu. Usimpe kosa aliyetangulia kunako haki..
Na kama bar ilifungwa saa tano, yeye alikua wapi na huyo dada yake had saa saba?
Hapa ngumu.
Kizungumkuti
Wanajamvi,
Naamini tukikomaa na thread hii tutampata mapema sana muuaji, na atatusaidia sn.